JAY MTAALAM
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 1,595
- 1,388
Mungu akujalie upate kazi. Nilidhani huna shida ya pesaAjira itaniwezesha niipate iyo pesa ×20 yake zaidi....
Kuna mmoja yupo kule Buguruni darajani anaangalia magari yanavyopita akichoka anageuza Home.
Hata kua jobless sometimes husaidia....utakuja pata mlejesho baadae...si laima auze karanga au mayai...kama yeye anaona ananufaika japo tu kwa kuangalia mazingira ipo siku atapata wazo zuri kuhusu hayo hayo mazingira...ila kikubwa fanya kitu unapenda si mazingira au watu wakuforce kukifanya....over
Mkuu hii post yako imenigusa mno, mimi kwa upande wangu naomba nikutume jambo hapo uendapo, tafadhali nichunguzie hicho kifaa chetu tukitumiacho kusafiria hadi mjini kigamboni, usiishie kukaa ufukweni tu naomba upande chomboni, angalia vizuri mwenendo wake, milango yake, wahudumu wake, hitilafu zake na abiria wake. Angalia pia huduma za dharura zilizopo karibu yake, angalia viokozi vyake, watendaji wake, hatari zake na kila unachokitilia mashaka na ukiwasilishe hapa jukwaani ili kifanyiwe kazi na maboresho, pia wakati ukiwa umeshuka na kupumzika kwani jikumbushe kidogo kwa kufuatilia tukio lenye kuhuzunisha linalofanana na nilichokutuma hapo, ndugu zetu jirani zetu hawakuwa wamejiandaa vyema juu ya kukabiliana na ajari na majanga ya ghafla yanayofanana na utakachoenda kuchunguza uko. Zingatia na utuletee taarifa Mkuu.Hello leo nitakuwa pale posta/ferry naangalia meli na pantoni zikipita ni pale pembeni ya kituo kidogo cha polisi kivukoni ukija unaweza kuniona...musio na mishe ya maana wenzangu hapa town tunaweza ungana nitakula Azam ukwaju, karanga then baadae nitatembea kuangalia mji kidogo na kupanda gari kurejea Home.
Naulizaa hivi bado wanaruhusu kukaa lile jumbaa jeupee kwa nyumaa.karib na ocean road....?cijapitaa mudaa kule toka awamu ya 4..japo kipindi kilee nilipokuaa nahusstlee nlikuaa naenjoy sana upepo wa kulee..na marafiki nilipataa kulee..
Hahahahaha..daah..ilaa maishaa haya..achaa tu..kipindi kilee nlikuaa nikiendaa kulee mchana napiga kashataa tu mchana..ciku inakuaa imepitaa..il a kukosaa kazi ni kazi piaa jaman[emoji23] [emoji23] kulebana tumefukuzwa ndio tumeamia huku wengine wameamia Coco huko wachache wameamia mabalabalani kushangaa matrekta maana meli zenyewe zikuhizi hazitoshelezi idadi ya washangaaji ndio tumejigawa.
Uzi wako ni kama comed vile ila kuna ujumbe wa masikitiko sana ndani ya maandishi yako.TUNA NGUVU NA ELIMU ILA HATUNA AJIRA
Hapana hayo umesema wwKwa kuvutia bangi! au sio
Chukua Like MkuuHata kua jobless sometimes husaidia....utakuja pata mlejesho baadae...si laima auze karanga au mayai...kama yeye anaona ananufaika japo tu kwa kuangalia mazingira ipo siku atapata wazo zuri kuhusu hayo hayo mazingira...ila kikubwa fanya kitu unapenda si mazingira au watu wakuforce kukifanya....over
Kamata Dislike MkuuHako kasimu Kako ungekauza hata kwa elfu 20 ungepata mtaji wa kununua karanga za kukaanga au tray ya mayai ukachemsha ukaanza kuuza ukaondokana na u jobless wa kwenda kushangaa Meli ferry.
Kutembea napo ni fursa pia sio lazima tuuze ma karanga kama uwazavyo wewe.Hako kasimu Kako ungekauza hata kwa elfu 20 ungepata mtaji wa kununua karanga za kukaanga au tray ya mayai ukachemsha ukaanza kuuza ukaondokana na u jobless wa kwenda kushangaa Meli ferry.
Mkuu nipe mimi kazi ya kuwafundisha mathematics...seriousAnamiliki simu ya 200k analafu anajiita jobless, njoo nikupe kazi ya kupikia wanafunzi wangu chakula hapa shuleni.