JAY MTAALAM
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 1,595
- 1,388
Wakati unaangalia tafadhali uwe makini usije ukajaribu kujitosa sababu ya stress za ajira,kumbuka kundi la wasio na ajira ni kubwa, basi yakupasa kuvumilia kama wenzako huku mitaani,mapumziko mema. AJIRA NA MAPINDUZI YA VIWANDA YATAWEZEKANA