Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua Maisha ya wanajeshi?? Unajua wanalipwaje??Kwani wanajeshi walivoongezewa mda wa kazi waliambiwa watalipwa overtime? Niko gizani bado
Hakuna kipengele cha CORONA kwenye mkataba....umenitoa kwangu Mwanza umenileta Tandahimba kwa mkataba wa kudumu..nikae kituoni nifanye kazi...kulipwa ilikua na lazma ndo maana alishajibia hilo kuwa hata Corona ingekaa kwa miaka 10 angetulipa...Mbona nikiugua hata miez 6 huwa nalipwa kwani ugonjwa nimejipa Mimi??Hata Kama magu ni boko jamani muwe na shukrani miezi mitatu kawalipa huku mnaendesha miradi yenu khaaa
Kama unafikiria kwa umakini hiyo miezi mitatu imefidiwa na itafidiwa kwenye likizo zijazo ,mantiki ya kua tulipokea mshahara wa bure haipo ,pia kwenye halmashauri yangu tulikua tukitoa mazoezi na kuyasahihishaWalimu bwana; miezi mitatu mmelipwa bila kufanya kazi hata lisaa limoja leo mnahoji kuongezewa masaa mawili?
Kwa kukufanunuliwa masaa ya kufanya kazi kisheria ni 40 - 45 kwa wiki. Kama unaingia kazini saa 1.30 mpaka Mpaka saa 10-30 jioni ukiondoa lisaa limoja la mapumziko ya chakula utakuwa umefanya kazi masaa 8 hivyo kwa wiki masaa 40 ambayo yako kisheria.
Kua muelewa usiwasikilize wanasiasa muda huo utakatwa likizo ,mwezi wa nne kunakuaga na likizo ya wiki mbili ,wa sita mwezi mmoja ,wa 9 wiki mbili halafu desemba shule zitamaliza muhula desemba 18Hata Kama magu ni boko jamani muwe na shukrani miezi mitatu kawalipa huku mnaendesha miradi yenu khaaa
Hakuna mishahara ya bure sababu huu muda utafidiwa kwenye likizoWalivyokuwa wapo majumbani walilipwa mishahara ya bure , je ulilalamika kwann wanalipwa bila kufanya kazi?
Ukiwa likizo hulipwi mshahara ? Muda uliopotea utafidiwa kwenye likizo kama ulimsikiliza vzuri mwalimuWalipwe overtime ya nini, mbona wamelipwa miezi mitatu bila kufanya kazi, na mwezi wa tatu walifanya nusu mwezi wakalipwa full[emoji848]
Wakati wa likizo ya Corona mbona hamkusema msilipwe? Pigeni kaziWaziri wa Elimu katia waraka na ratiba mpya za mihula ya shule jana.
Ndani ya waraka huo kaongeza muda wa masaa mawili kwenye RATIBA za shule yaani zianze SAA 2:00 asubuhi hadi SAA 10:00 jioni badala ya SAA 8:00 mchana.
Katika kuongeza huku hakuzungumzia malipo ya ZIADA (overtime) kwa walimu ambao no watekelezaji na wasimamizi wa RATIBA hiyo.
Nauliza je, amesahau kuwa muda wa kazi kwa mwajiriwa wa umma unaishia SAA 9:30 alasiri? Kama kaongeza muda wa kazi haoni kuwa Kuna haja ya kumlipa ZIADA huyu mwalimu kwani naye muda wake wa kazi hautofautiani na wafanyakazi wa kada nyinginezo?
CWT na hata serikali watoa majibu ya kama KUTAKUWEPO na malipo ya ziada na kinyume chake kutaleta mgogoro wa kikazi kati ya mwajiriwa na mwajiri.
Huo muda utafidiwa kwenye likizo ,kwa iyo ukisema walimu walipokea mishahara ya bure sio sahihi...but wakati shule zimefungwa si wamelipwa mishahara kama kawaida? Kumbuka kada nyingine za ajira ziliendelea na kazi wakati walimu wakipumzika katika kipindi chote cha corona.
Mawazo yangu tu.....najaribu kuwa fair
But overtime zinategemea mkataba wa ajira...kama ipo, ipo tu.
Mimi ni mwalimu. Wakat watoto wapo nyumbani nilikuwa natoa kazi watoto wafanye na nasahihisha madaftar karibua elfu moja kwa wiki. Hilo lilikuwa agizo la katibu tawala wa mkoa niliopo.
Sasa hayo masaa mawili ya ziada yapo kisheria na posho inatakiwa iwepo. Vinginevyo naona kama wanapigia mbuzi gitaa. Sina mpango wa kukaa mpaka muda huo. Mm ikifika saa 7 mchana nachora nipo geto.