wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Hebu tupe bei halali ya rav4 miss tz na old model tuthibitishe huo ucheap wa miss tz
Be forward.com
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu tupe bei halali ya rav4 miss tz na old model tuthibitishe huo ucheap wa miss tz
Unaumwa wewe sio bure kwamba bei ipoje?
Kwahyo we mwenyewe umeshindwa kutaja hizo bei?Be forward.com
Kwahyo we mwenyewe umeshindwa kutaja hizo bei?
Shukrani kwa Mkuu; ushauri utazingitiwa.Kama inavuma angalia bearing mkuu inaweza kuwa ndio tatizo
... ustaarabu kitu cha bure Chief!Bei zake ni kama za kwa mpalange.
Amechagua kuwa mjinga, tumwache kama alivyo tusije wote tukafanan naye!... ustaarabu kitu cha bure Chief!
Amechagua kuwa mjinga, tumwache kama alivyo tusije wote tukafanan naye!
... ustaarabu kitu cha bure Chief!
Sawa!Hujakosea mtoto mzuri.
Hapa mimi nakushauri mtafute fundi akufanyie adjustment kwenye brakes zako,isikijekuwa zinakamata sana hivyo ni lazima utumie nguvu ku accelerate au inasimama ghafla unapoachia accelerator ukiwa kwenye high speed.Unajua nimegundua kwanini watanzania wengi tunajua ABC za ufundi magari,hii inatokana na tabia yetu ya kununua magari used kitu,kinachotufanya tuwe watumwa wa mafundi garage,huwezi kukuta mtu amenunua gari imetembea km 500 kafungua bonnet ya gari yuko garage,labda kama imepata ajali,na mleta mada hapa na RAV 4 yake tayari naona naye ameshaanza kujifunza ufundi wa magari taratibu....Swali la mwisho, Je Mfano ukiwa hiyo speed 100 ikianza kujipunguza mwendo huwa mpaka inasimama kabisa au huwa inajipunguza tu na kuanza kwenda mdogo mdogo?
... nitakuwa mkosefu wa fadhila nisiposhukuru wadau wote walionipa maoni yao humu! Asanteni sana. In short wakati najiandaa kukuona kama nilivyokuwa nimeahdi kuna jamaa yangu mmoja alinipa wazo kwamba nicheki fuel system inaweza ikawa na matatizo hasa kama gari limekaa muda mrefu ikishindikana ndio suala la control box lifuate.Poa... Karibu
Mkuu JituMirabaMinne upo pale ccm na kina francis?Okay nipo Dar pia. Magomeni, Mwembechai.
0621 221 606
Hapana Mkuu me nipo ilipokuwa Bank ya Finca zamani.Mkuu JituMirabaMinne upo pale ccm na kina francis?