Ravinder Kaushik ''Black Tiger'' : Jasusi mbobezi aliyefia jela ya ugenini


Uzalendo,Utii na Uadilifu..Hizi nguzo tatu ni muhimu sana kwenye utumishi katika sekta hizi.Hizi kazi hazina guarantee ya aina ya maisha,mfumo wa maisha wala mpangilio wa yajayo.Wewe ni wa kwenda na mission na kutii amri za kulitumikia taifa muda wowote utakaoitwa.
 
walipeleka boya likawahi kushikwa duh! lkn si huwa wanafundishwa namna ya kudanganya (poteza maboya na vile mnavyodhani na uthibitisho wa uongo huo ili aaminike)

Alitumwa kufanya assignment moja na akafaulu kwa kiwango cha juu..RAW wakatuma rookie agent awasiliane nae,rookie akakamatwa na kuchoma mission nzima.Black Tiger hapa hana kosa lolote wala hajashindwa mission..infact RAW ndo wameharibu mkakati mzima.
 
Integrity and patriotism, interested..[emoji5] [emoji5]
 
Mkuu nitakuja kukusoma vizuri hapa akili ikitulia ila 'like' yangu tayari nimekupa.
 
Na mataifa mengi huwatelekeza watu hawa pale yanapowakuta yakuwakuta ; Hatari haswaaa !!
si vyema kuita au kusema wametelekezwa, moja kati ya vitu au mafunzo ambayo watu wa vitengo vya intelijensia hufundishwa na kuambiwa ukweli hasa ktk mission kama hizo kuja kuokolewa ni 50/50

Tofauti na mwanajeshi wa kawaida lazima aokolewe.

Hivyo kulalamika kwa huyo jasusi hakukuwa na mantiki si ajabu ndio maana hata serikali ilikuwa kimya.

Kazi za ujasusi sio nzuri hata kidogo...ni kujiSacrifice.
 

Ni kweli kabisa mkuu...kuokolewa kwenye vitengo vya usalama hasa intelijensia ni 50/50.Kikubwa nchi nyingi zinalinda diplomasia na mahusiano yao na nchi za kigeni hata kama nyuma ya pazia ZINAWADUKUA.
 
Sh
Mkuu nitakuja kukusoma vizuri hapa akili ikitulia ila 'like' yangu tayari nimekupa.

Shukrani mkuu..ila urudi kusoma ikiwezekana na wewe utuletee nondo tuzidi kulisha bongo zetu.
 
wajameni hapa tunafundishana,nisaidieni spy swip na spy trade maana yake nini?
 
wajameni hapa tunafundishana,nisaidieni spy swip na spy trade maana yake nini?
Ni Spy Swap (not swip)!

Hiyo ni practice ambayo ilitumiwa sana wakati wa Vita Baridi kati ya Urusi na Marekani ambayo kwa lugha nyepesi ni Spy Exchange. Kwamba, unakuta labda Marekani ilikamata majasusi wa Kirusi ikawatupa jela! Miaka kadhaa/michache baadae Urusi nao ikawa wamekamata majasusi wa Marekani au wa washirika wa Marekani nao wakawatupa jela.

So, hapo US na Urusi wanaweza kukubaliana kubadilishana hao majasusi (wafungwa) walio jela na hiyo ndo spy swap! Makubaliano ya aina yoyote ni spy trade.

Kwa miaka ya karibuni, Spy Swap ilifanyika mwaka 2010 ambapo Majasusi 4 wa Kirusi waliokuwa kwenye magereza ya Urusi kwa tuhuma za kuwa Double Agents kwa niaba ya MI6 walibadilishwa na Majasusi 10 wa Kirusi (Illegals) ambao walidakwa na FBI nchini Marekani!
 
asante kwa somo najihisi kuanza kuwa jasusi jasusi
 
kujitoa.... uzalendo... nimepata shule mkuu...!!!

thanks
 
kwa majibu ya maswali hayo mawili muhi..

Je, kwanini india walikubali kutoa msaada kwa familia baada ya kifo cha kachero wao..??

that means ni kukataa kuwa huku gusa maji lakini unakubali kuwa uliyanywa...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…