jamani si ungemwambia mwenyewe?na blog anayo.unavyoelezea ni kama yumo humu
Nakufagilia sana Ray jinsi unavoigiza bu sifagilii staili yako ya kushindana na kanumba.Unasubili kanumba afanye na wewe ufanye,nasikia kanumba alikuwa akinunua gari fulani na wewe lazima ununue hilo hilo,kanumba akianzisha blog na wewe unaanzisha hata,,alivoweka dawa kwenye nywele na wewe ukaiga..nk.*nisichopenda *zaidi *ni pale kanumba alivojiita THE GREAT wewe ukajiita THE GREATEST.Ukweli huna level ya kumfikia Kanumba kwa namna yoyote,kwa heshima ya marehem nasema badili hilo jina la THE GREATEST!
Ray ndo mkuu wa mkoa wa wapi jaman?
jamani si ungemwambia mwenyewe?na blog anayo.unavyoelezea ni kama yumo humu
Na sasa tunasubiri amwiige kufa ndo tumwamini ni mkaree wa kuiga!
jamani si ungemwambia mwenyewe?na blog anayo.unavyoelezea ni kama yumo humu
Ray ndo mkuu wa mkoa wa wapi jaman?
Ni mkuu wa kulalamika kwenye maigizo ya mambo ya bongo
Ray ndo mkuu wa mkoa wa wapi jaman?
Ray ndo mkuu wa mkoa wa wapi jaman?
kwani anavyosemegwa muke ya mudhungu mange humu inakuaje, ye pia si ana blog yake! muache adadavuliwe kama ilivyo ada! ni kweli anaboa, anamuiga sana kanumba! binafsi yangu sijawahi angalia movies zake na sitakaa nikaangalia!
Mimi huwa naangalia, ili nikisikia watu wanasema Ray, niwe na idea na data za kutosha kujua ni mtu wa aina gani?
Sifa yake kubwa ni kupiga kelele kwenye cinema zake....