Ray acha kujiita the greatest!

Ray acha kujiita the greatest!

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,409
Nakufagilia sana Ray jinsi unavoigiza bu sifagilii staili yako ya kushindana na kanumba.Unasubili kanumba afanye na wewe ufanye,nasikia kanumba alikuwa akinunua gari fulani na wewe lazima ununue hilo hilo,kanumba akianzisha blog na wewe unaanzisha hata,,alivoweka dawa kwenye nywele na wewe ukaiga..nk.*nisichopenda *zaidi *ni pale kanumba alivojiita THE GREAT wewe ukajiita THE GREATEST.Ukweli huna level ya kumfikia Kanumba kwa namna yoyote,kwa heshima ya marehem nasema badili hilo jina la THE GREATEST!
 
jamani si ungemwambia mwenyewe?na blog anayo.unavyoelezea ni kama yumo humu
 
Na sasa tunasubiri amwiige kufa ndo tumwamini ni mkaree wa kuiga!
 
kwani anavyosemegwa muke ya mudhungu mange humu inakuaje, ye pia si ana blog yake! muache adadavuliwe kama ilivyo ada! ni kweli anaboa, anamuiga sana kanumba! binafsi yangu sijawahi angalia movies zake na sitakaa nikaangalia!
 
tena na ye akifa, mnijuze mapema niwahi kupiga picha mpaka wakimfunga macho, kisha ni-expose kwenye blog yangu kule manjecha kwetu! mnikumbushe pia snaps za wakati anaingizwa mochwari! WHAT A PHYSCOPHANT?!!
 
hahaha kweli hii kali, umemsema lakin ebu kaangalie kati yao wawili nan alimtangulia mwenzake kununua gari la kifahari, kisha kachunguze kati yao nani alianzisha kampuni ya kutengeneza filamu akiwa wa kwanza then uone kama yote uliyo yaandika ni sahihi
 
kwani anavyosemegwa muke ya mudhungu mange humu inakuaje, ye pia si ana blog yake! muache adadavuliwe kama ilivyo ada! ni kweli anaboa, anamuiga sana kanumba! binafsi yangu sijawahi angalia movies zake na sitakaa nikaangalia!

Mimi huwa naangalia, ili nikisikia watu wanasema Ray, niwe na idea na data za kutosha kujua ni mtu wa aina gani?
Sifa yake kubwa ni kupiga kelele kwenye cinema zake....
 
wote hawsna,hswajuws na hawatakuwa ba uwezo wa kuwa The great ni Mmoja tu ndie mwenye vyeo hivyo Sir God
 
Mimi huwa naangalia, ili nikisikia watu wanasema Ray, niwe na idea na data za kutosha kujua ni mtu wa aina gani?
Sifa yake kubwa ni kupiga kelele kwenye cinema zake....

Pia, Ray hana vigezo vya kuwa the greatest.
 
Watu wanapiga pesa wewe na utabe wako unajadili mabadiliko ya jina!!!btw mashindano yao yalikuwa na tija kwani kila mmoja alikuwa na wivu wa maendeleo ya mwenzake!f.y.i...ray kaanza kujipanga kitambo sema nyota yake katika movie haijang'aa kivile!
 
Back
Top Bottom