yahoo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 3,526
- 1,409
Nakufagilia sana Ray jinsi unavoigiza bu sifagilii staili yako ya kushindana na kanumba.Unasubili kanumba afanye na wewe ufanye,nasikia kanumba alikuwa akinunua gari fulani na wewe lazima ununue hilo hilo,kanumba akianzisha blog na wewe unaanzisha hata,,alivoweka dawa kwenye nywele na wewe ukaiga..nk.*nisichopenda *zaidi *ni pale kanumba alivojiita THE GREAT wewe ukajiita THE GREATEST.Ukweli huna level ya kumfikia Kanumba kwa namna yoyote,kwa heshima ya marehem nasema badili hilo jina la THE GREATEST!