Ray ageuka mbogo baada ya kuhusishwa na kifo cha kanumba.......amsweka ndani mmiliki wa u-turn

Ray ageuka mbogo baada ya kuhusishwa na kifo cha kanumba.......amsweka ndani mmiliki wa u-turn

Psychological problems huyu dada anayo! Kwa wasiojua kuna tetesi babake mzee kimambi alikuwa anajishughulisha na ujenzi, alikuwa malaya anatembea hadi na wake za watu. Kuna mtu alimtegea tego akamnasa na mke wake ikabidi jamaa aliyeibiwa mke aje na baunsa aliyekuwa ameathirika kwa UKIMWI, Mzee kimambi aliingiliwa kinyume na maumbile na huyo mtu ambaye alimwonyesha na cheti cha +ve HIV. Then akaachiwa alipotoka pale baada ya muda akaenda kupima na kujikuta anao hivyo akajiua nyumbani kwake mwenyewe. What a pity! I think this hunts her she's not herself jamani huyu dada anawafagilia wenzake walioolewa/kuzaa na wadhungu km yeye. Na mbaya zaidi huponda wanaume wa kibongo eti "hawajui mapenzi na kujali"

Pliz pambana na Mange achana na habari ya Marehemu Babake. Respect the dead mydia.
 
Mengi yatasemwa, wengi watatuhumiwa na watuhumiwa wote watajitetea lakini asilani hayatamrejesha Kanumba. Watuhumiwa kuweni na subira wakati kesi ikiendelea kwani Ray na wengine mwaweza kuathiri mwenendo wa kesi ya Lulu.
 
Point ya Ray inaitwa 'pointless' kwani hata ndugu wa damu - baba mmoja, mama mmoja proven by DNA - wanauwana; sasa ijekuwa marafiki tu!!!!!!!
So what do you want to comment!!!!.........Ray has anything to answer in regard to the allegations in court of law??
 
Yaani u-turn inasomwa around the globe? Mbona mie siisomi? Ray anampaisha tu huyu mwanamke, role model wa wanawake useless kama yeye mwenyewe! Mi naulizaga what does she do for a living? Kama ni mfanyabiashara anauza nini tukamuungishe?!

namimi nitamuungisha.
 
pole mdogo wangu Ray unajua binadamu wanapenda kupata umaarufu kupitia kitu fulani, Huyo Mange anataka kutumia kifo cha marehemu Kanumba na umaarufa wako ktika jamii kama daraja la kupanda chati akisahau kuwa anajenga chuki kati ya Ray na jamii inayomzunguka. Chukua hatua za kisheria na usirumbane naye kwenye media, mahakamani ndipo mahali sahihi pa yeye kuthib
 
Paxman likes this

hivi jamani in one way or another lazma KANUMBA ATAONGELEWA TU humu ndani! hivi ni kweli hakuna important issues to discuss apart from this issue! realy BORING, DISSAPOINTING!
 
hivi jamani in one way or another lazma KANUMBA ATAONGELEWA TU humu ndani! hivi ni kweli hakuna important issues to discuss apart from this issue! realy BORING, DISSAPOINTING!

If it bores u what next?
Nakushauri hama thread au funga Jf mpaka utakapokuwa not bored!
 
Ray ndo anakurupuka,atampa promo zaidi huyo mdada na globe yake,,the best way ilikuwa ni kukaa kimya tu na kumpotezea,after time kila kitu kingekuwa kimya

Bro,
Huwezi kukaa kimya kwa tuhuma za mauaji, unless uwe huna moyo wa woga. Ray mwenyewe anasema katishiwa kifo na wapenzi wa filamu za Kanumba, ungekuwa ni wewe umetishiwa kifo ungekaa kimya? Mtu anakutuhumu uuajia halafu ukae kimya? No way. Nadhni ni vema huyu kicheche aozee huko lupango, anaingilia uchunguzi wa polisi kuhusu kifo cha Kanumba ilhali polisi hawajamaliza uchunguzi wao na kesi iko mahakamani. anaingilia pia uhuru wa mahakama kwa kutoa hukumu kabla mahakama haijaona hivyo.

 
Ray pambana na huyo malaya umshikishe

adabu hata mimi niliisoma hiyo habari kuna mtu aliiweka humu ilinisikitisha

sana huyu kicheche anakuchonganisha na jamii na hao mashabiki uchwara wa

huyo mzinzi aliyekufa kwa akili zao wanaweza kukudhuru kuwa makini
 
Nilisema mange lazima ile kwake.....

afu mods wameibandua ile thread inayozungumzia post yake...maana na yeye kaibandua.....
 
Nimechoka na hizi taarifa za uzushi kila siku,badala ya watu kufanya mambo ya maana tunakaa na kuanza kujadili vitu ambavyo hatuna uhakika navyo.
Hivi tukiwa na subira na kuiachia polisi na mahakama vifanye kazi yake tunakosa kitu gani?
 
Nimechoka na hizi taarifa za uzushi kila siku,badala ya watu kufanya mambo ya maana tunakaa na kuanza kujadili vitu ambavyo hatuna uhakika navyo.
Hivi tukiwa na subira na kuiachia polisi na mahakama vifanye kazi yake tunakosa kitu gani?
mange laizma ile kwake.....hawezi kumhukumu mtu hadharani...ray ni celebrity anauza muvi..jina lake limechafuliwa kichizi...
 
..afu mods wameibandua ile thread inayozungumzia post yake...maana na yeye kaibandua.....

Pale kwake kuna mtu kaibandika tena, in form of a comment. Ame-quote nzima nzima. Itakula kwake
 
Back
Top Bottom