Ray ageuka mbogo baada ya kuhusishwa na kifo cha kanumba.......amsweka ndani mmiliki wa u-turn

Nilisikia Ray alivyoongea. Nadhani bwana mdogo hana washauri ukishakuwa ''staa'' namna hiyo na ukubwa wa tuhuma hakupaswa kujibu vile. Maana yeye katuhumiwa kumuua Kanumba bali ya kujibu hoja kirahisi vile na kumshambulia mtoa tuhuma alitakiwa ajibu na kuonyesha kiasi gani yule dada ni mwongo....a justify kwanini hauhusiki na kifo kile. Kwenye posti ile ya Rutta tuliuliza hayo maswali ilikuwaje baadhi ya wasanii wafike nyumbani kwa Kanumba usiku ule?

Ray siku nyingine sio lazima uongee radio moja kwa moja kaa na watu andika maelezo yako kisha uyasome kuliko ulivyofanya jana......argumentum ad hominem
 
Awe Fundisho huyo dada.. Kwani anaweza kuleta majanga kwa watu. Afungwe miaka 3 jela huyo dada.
 

Pale kwake kuna mtu kaibandika tena, in form of a comment. Ame-quote nzima nzima. Itakula kwake
aiseee mods nao bana.....sijui kwanini wameibandua humu??
btw lazima ile kwake kudadadadeki.....
 

No link
 


IQ yake ni ndogo sana Ray, yuko kwenye game kwa kubahatisha ndio maana anabebwa bebwa tu . hayuko analytical
 
IQ yake ni ndogo sana Ray, yuko kwenye game kwa kubahatisha ndio maana anabebwa bebwa tu . hayuko analytical

He gonna hire a lawyer ...IQ yake haihusiki tena ....he play good so far
Nice move brother...Thats how is done .....
 
Kama unakuwa bored si uiache kusoma... kwani lazima usome zote.... soma unazoona zinakufaa ndugu....
 
Duh! hizi data nilipata kama sikosei ni kigoma. marehemu alikuwa anajenga jengo fulani maarufu kielimu.
 
umbea tu, huyu dada hajawahi kutoa kwenye blog yake kitu chochote kinachomuhusu muigizaji ray

Umbea si uongo ni maneno ya siyokuhusu kwa sana tuu.........You not gonna fool anybody...kama amefuta uliza lawyer wako mashahidi wangapi wanatakiwa kusema alichopost ili atiwe hatiani...idadi hiyo itafika

Let her face the music ...you cant just wake up and get into peoples nerves!!! damn girl
 
Nilisema mange lazima ile kwake.....

afu mods wameibandua ile thread inayozungumzia post yake...maana na yeye kaibandua.....

Ile post tushaitimbulo(copy) ipo kwa desktop since that day ilipokuwa released kama unaitaka sema tukupatie!!
 
Pliz pambana na Mange achana na habari ya Marehemu Babake. Respect the dead mydia.

Ukiwa public mkuu na mambo yako yako hivyo!
Na pili mara nyingi wazazi ndio vioo vya watoto, so awe mfu awe mzima alimtengeneza Mange wenu!
 
hiyo miaka mi 3 utafungwa wewe, kumbuka mjinga akiwazach ndicho kimtokeacho

You again!!!?
I got the feeling your the one
I feel pity for you
Nakushauri umwobe msamaha ..this case is not good for you .
The odds are not in your side... you gonna spent some yrs behind bars
 
weng walimcheka wema kwa kutafuta umaarufu kwa kifo cha kanumba , je huyu mdada (mange) tumweke kwenye kundi gani??? je huo upuuzi aufanyao anajua gharama yake ??? nini kinampa kiburi??
unajua chanzo au unadandia gari kwa mbele, ukitaka uhakika fungua blog ya u-turn tafuta sehemu aliyoandika kuhusu raya kama utaiona. nasoma mara nyingi hiyo blog cjawahi kuona amemtoa ray
 
unajua chanzo au unadandia gari kwa mbele, ukitaka uhakika fungua blog ya u-turn tafuta sehemu aliyoandika kuhusu raya kama utaiona. nasoma mara nyingi hiyo blog cjawahi kuona amemtoa ray

Idiota
Poor girl
You have to clear up the mess ..is not gonna work
 
You again!!!?
I got the feeling your the one
I feel pity for you
Nakushauri umwobe msamaha ..this case is not good for you .
The odds are not in your side... you gonna spent some yrs behind bars
mi sio mange ila ninauhakika kwenye blog yake hajawah kutoa habari inayomuhusu ray, no research no right to speak. mfyuuuuuuuuuuu
 
nina uhakika hajapost kitu kinachomuhusu ray, na kwa taarifa yako mange anapeta mtaani MTAJIBEBAJE?
 
If it bores u what next?
Nakushauri hama thread au funga Jf mpaka utakapokuwa not bored!


nimekusamehe bure tu! uwezo wako wa kufikiri umefika kikomo! haya endeleza promo, jua wakati linazama utakuta savings zimeongezeka bank. REALY PATHETIC!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…