mi sio mange ila ninauhakika kwenye blog yake hajawah kutoa habari inayomuhusu ray, no research no right to speak. mfyuuuuuuuuuuu
inaelekea wivu umekujaa kwa yeye kukaa dubai. USHAURI WANGU KWAKO panda juu ukamzibieNgoja na yeye aone tofauti ya Dubai na Oysterbay police post
dont say some people, what about you? have you seen it, if not shut up you're big mouth like ungoKama wewe siyo huyo mtu...and you never seen some shit like what we are talking then shut up!!!cause people they have seen that shit....waswahili wanasema mdomo ulipoza kichwa...domo kubwa balaa kubwa
Nimechoka na hizi taarifa za uzushi kila siku,badala ya watu kufanya mambo ya maana tunakaa na kuanza kujadili vitu ambavyo hatuna uhakika navyo.
Hivi tukiwa na subira na kuiachia polisi na mahakama vifanye kazi yake tunakosa kitu gani?
nina uhakika hajapost kitu kinachomuhusu ray, na kwa taarifa yako mange anapeta mtaani MTAJIBEBAJE?
inaelekea wivu umekujaa kwa yeye kukaa dubai. USHAURI WANGU KWAKO panda juu ukamzibie
it will be good for her other with she'll learn her lesson...she have to face the music
Kujibeba ?who ?I feel pity for you
dont say some people, what about you? have you seen it, if not shut up you're big mouth like ungo
NAKWAMBIA WANAOMKANDIA HUMU NDANI NI WALE AMBAO WALIMUOMBA UVUNGU AKAWATOLEA NJE! HAIWEZEKANI UKAWA NA HASIRA NA MTU AMBAYE HUJAWAHI HATA KUKUTANA NAYE! HAMFAHAMIANI KABISA! Hebu tutoe personal issues! iacheni mahakama na polisi videal na mange!
Ngoja na yeye aone tofauti ya Dubai na Oysterbay police post
unaonekana una NGAMA! labda alikuwa anacheza staki nataka, mjaribu tena this tym mayb atakusuc.. co..., mbona una hasira sana na mange??? pole sana u r not of her class! we komaza vidole kwa ku-comment, mwenzio anatengeneza pesa!Umbea si uongo ni maneno ya siyokuhusu kwa sana tuu.........You not gonna fool anybody...kama amefuta uliza lawyer wako mashahidi wangapi wanatakiwa kusema alichopost ili atiwe hatiani...idadi hiyo itafika
Let her face the music ...you cant just wake up and get into peoples nerves!!! damn girl
unaonekana una NGAMA! labda alikuwa anacheza staki nataka, mjaribu tena this tym mayb atakusuc.. co..., mbona una hasira sana na mange??? pole sana u r not of her class! we komaza vidole kwa ku-comment, mwenzio anatengeneza pesa!
nina uhakika hajapost kitu kinachomuhusu ray, na kwa taarifa yako mange anapeta mtaani MTAJIBEBAJE?
Monday, April 16, 2012
MANGE
KIMAMBI - LULU HAUSIKI KWENYE KIFO CHA KANUMBA - RAY
Written by Mange
**
Monday, 16 April 2012 22:04
*
Since the day kanumba died I have been
telling everyone who would listen, Lulu aint no killer but she was used
unknowingly…..
So today I met a policeman wa kituo cha Oysterbay who gave
me this info…ofcourse siwezi kumtaja…
So this is what he told
me…
Usiku ule Kanumba alipofariki walienda kumshikia Lulu Coco beach akiwa
ana have fun na washkaji wake like nothing happened.
So its evident Lulu had
no idea kuwa Kanumba alifariki baada ya kudondoka, otherwise angeenda hata
kujificha but instead alienda kula bata na washkaji zake Coco beach mpaka polisi
waliokuwa wamevaa nguo za kiraia kuwakamata kundi zima na kuwalaza ndani.
Wengine waliachiwa asubuhi yake….
So that misterieous phone call that Lulu
was making that go...
dont say some people, what about you? have you seen it, if not shut up you're big mouth like ungo
unaonekana una NGAMA! labda alikuwa anacheza staki nataka, mjaribu tena this tym mayb atakusuc.. co..., mbona una hasira sana na mange??? pole sana u r not of her class! we komaza vidole kwa ku-comment, mwenzio anatengeneza pesa!
Ukiwa public mkuu na mambo yako yako hivyo!
Na pili mara nyingi wazazi ndio vioo vya watoto, so awe mfu awe mzima alimtengeneza Mange wenu!
Point ya Ray inaitwa 'pointless' kwani hata ndugu wa damu - baba mmoja, mama mmoja proven by DNA - wanauwana; sasa ijekuwa marafiki tu!!!!!!!