Imejibiwa 20/04/2012....nimekuta mahala watu wamesha copypaste duh mitandao...
You know what?? If we were all the same ,wouldn't this have been a boring world?
Hivi kwanini watanzania siku zote huwa tunapenda kulalamika kuwa our voices are not being heard but when someone speaks up, most cant take it…..
Anyways, huu ni usawa wa ukweli na uwazi. Mimi nilivyo sijawahi kuwa mnafki sijawahi kumchekea mtu ambae simpendi,. Kama umeniboa ntakuonyesha au ntakwambia…..
The past 2 weeks have been crazy, yani ni emails kutwaaaaaa na msgs kutwaaa about why naandika posts and taking them down, especially ile ya Chadema. Again tunarudi pale pale kuwa watz hatujazoea kuambiwa ukweli. Maana that day I simplily voiced my opinion, sikumtukana mtu yoyote matusi ya nguoni au kumsemea uongo.
Sitoongea sana but kama nimewahi kuweka post yoyote humu nikaishusha just know, its an opinion I will stand by 10yrs to come. Nikizishusha ujue basi either muhusika kanipigia simu analalamika sana au a close friend of mine kanipigia kumuombea huyo mtu kuwa nitoe hiyo post. Either way nikitoa post just know ni mambo ya kujuana kujuana tu na sio kwamba I didn't know what I was saying in the first place….. aiseee, there are so many TZ bloggers out there so usidhani nimewapata nyie wote kushinda humu because im stupid. Im nowhere near being stupid.
So today a close friend of mine who I love very much, kindly asked to maybe tone it down somehow for the main reason that there are many people who don't like me out there especially this week, sababu ya some article inayosambaa huko kuhusu Ray. Well, I just thought to myself kama hao wajinga watanichukia mimi na sio huyo so called friend wa Kanumba aliekuwa na muda wa kumpiga picha rafiki yake wakati anakata roho na baada ya kukata roho mpaka anaingizwa mochwari na kwenda kuzitundika kwenye blog yake the next day,tena na caption kabisa hapa alikuwa anakataa roho, hii ndo maiti yake, if they cant hate such a person wakanichukia mimi basi nimewadharau sana.
Maana mtu hakuwa hata na common sense ya kusema ashushe hizo picha mpaka watu walipomjia juu ndo akazitoa. Aiseee, ni binadamu wangapi unawajua wewe walikuwepo wakati rafiki yao best anafariki instead of crying wakaanza kumpiga picha na kuzitundika mtandaoni? Kwenye hizo interview anazofanya left, right and centre toka jana mbona haongelei hilo? Sijawahi kusema Kamuua mtu yoyote, labda kama anajishtukia mwenyewe.
Hivi mbona nchi za wenzetu huko USA, wapi mbona kukiwa na kesi kubwa kama hizi mabloggers wanaandikaga stoies tena bila kuname sources. Ila bongo kwa vile hamjazoea kuambiwa ukweli mmezoea kusoma habari za juu kwenye mainstream papers basi ndo mnaleta zogo.
Wapenzi wangu, aisee mie im not here to win popularity contenst. Ntaendelea kublog the way I blog. Ntaendelea kuandika nnachoandika humu, ntaendelea kuvaa navyovyaaa. In short I have been consinstent all my life, this is who I have always been. Ukinipenda ntakupenda,ukinichukia ntakupenda zaidi,maana it just means you need more love in ur life.
Hivi unajua hakuna kitu kibaya maishani kama kumchukia mtu? Maana ukiishi huku ukiwa na chuki moyoni mwako u will never be happy. I have hated before sasa nikajikuta nateseka kuliko yuko nnaemchukia,maana nikiamka asubuhi namuwaza huyo kwanza ,siku nzima namuwaza huyo nayemchukia.Ila nikimpotezea yani nakuwa hata sijui kama yuko Duniani.Yani namsahau kabisa.
Nakushauri ujaribu kutomchukia mtu, you will be so happy. As u can see siku hizi nachokozwa kutwaaaaa huko facebook but huwa sina hata nguvu ya kumtukana mtu humu au kumjibu mostly I ignore.
Also nimejifunza kutojibishana / kuargue na watu wenye upeo mdogo. Embu chukulia mfano wa jana usiku, nimetumiwa status za mtu ananitukana facebook alafu wadau wangu wa ***** wanatuma comments mange muweke humu tumjibu sijui nini, i didnt approve even 1 comment that mentioned the drama maana sikuona itanisaidia nini.
I couldn't do that maana niliangalia situation yenyewe,huyo dada anaenitukanakaondoka kwao kahamia marekani kaaga anaenda kusoma like 6yrs ago, mpaka leo hii bado ni mwanafunzi, hajapata hata kale ka associate degree for god's sake.
Hivi namjibuje mtu ambae hadi leo hii CV yake kwenye highest education bado ani A level certificate from Mkwawa secondary? Hivi huyu mtu kweli tutaongea lugha moja? Siwakumhurumia tu??. Nikaangalia na hao wengine ni wafa maji tu,. So why should I bother myself??
I have come to accept that this cheap fame comes with haters na kwaweli sitoweza kudeal nao.
I started wondering So if u hate me so much kwanini unaingia humu BP inakupanda?? Usije ukafa kabla ya siku zako? Why cant u just read other blogs and skip this one ili usijiumize kichwa???
Anywas, guys, this is who I was 2yrs ago when I started blogging I believe im still the same person today. The only difference is, nimeongeza cheti chini ya uvungu wangu....hahhahahah
Unasema najishaua, najionyesha,naringa,drama queen,mgomvi,sijui nini, well labda ni kweli I am all those things, sasa unataka nifanyee???Nothing will change.
I will still post my pics nkila bata, I will still show off my new loubs, I will still call myself Muke ya Muzungu, if these little stupid things that are just meant to entertain you can make you hate me so much basi pole zako maana I aint about to change for anything or anyone.
I WILL STILL VOICE MY OPINIONS,, AS LONG AS IM NOT BREAKING THE LAW I REALLY DON'T CARE WHAT U THINK. HIVI MTU AKISEMA UKWELI KWANINI WATU HAWATAKI KUSIKIA WANAPENDA KUAMBIWA UONGO TUUUU????
TO THE VERY VERY MANY OF YOU WHO SUPPORT ME CONSTANTLY. THANK YOU FOR UNDERSTANDING ME AND STANDING BY ME. AGAIN SIWEZI KUPENDWA NA WATU WOTE……
WATZ TUACHE UOGA WA KIJINGA KIJINGA…..IT TIME TO SPEAK OUT!!!!! WATCH THIS SPACE!!!!!!!!!!!!
TEAM WACHOVU on Twitter, I love you………
***** FOREVER BABY…….