Ray ageuka mbogo baada ya kuhusishwa na kifo cha kanumba.......amsweka ndani mmiliki wa u-turn

Ray ageuka mbogo baada ya kuhusishwa na kifo cha kanumba.......amsweka ndani mmiliki wa u-turn

alivyomwandika Ray kumkasirisha ona chini

Written by Mange **

Monday, 16 April 2012 22:04
*

Since the day kanumba died Ihave been telling everyone who would listen, Lulu aint no killer but she wasused unknowingly…..

So today I met a policeman wa kituo cha Oysterbay who gave me this info…ofcoursesiwezi kumtaja…
So this is what he told me…

Usiku ule Kanumba alipofariki walienda kumshikia Lulu Coco beach akiwa ana havefun na washkaji wake like nothing happened.

So its evident Lulu had no idea kuwa Kanumba alifariki baada ya kudondoka,otherwise angeenda hata kujificha but instead alienda kula bata na washkajizake Coco beach mpaka polisi waliokuwa wamevaa nguo za kiraia kuwakamata kundizima na kuwalaza ndani. Wengine waliachiwa asubuhi yake….

So that misterieous phone call that Lulu was making that got Kanumba reallypissed. According to the policeman* alikuwa ni Ray on the other hand. And Lulukaandika kwenye statement kuwa Ray is her ex.

So why was Lulu was on phone with Ray at 1am akiwa nyumbani kwa kanumba onlygod knows. Lulu kaandika kwenye statement kuwa kanumba alimtolea mpaka pangaali aseme who was on the phone with her before she saw him just collapsing onthe floor.

And the most troubling part is this, Lulu was on the phone with Ray kabla yakanumba kudondoka. Kanumba kadondoka lulu left akaenda Coco beach ,obviouslyshe didn't know he was dead or was going to die.Ray* who was NOT on speakingterms with Kanumba was actually one of the very first people on the scene,nyumbani kwa kanumba even before the police were there to remove thebody.......

SO MY U-TURN CSI Agents, wanna tell me what happened????

By the way im not insinuating anything just telling y'all what the policemantold me today…..

by the way as the initial unconfirmed reports of kanumba's cause of dead havebeen saying, kanumba kafa kwa sababu ya ‘brain concussion' na hapo hapomuhimbili one of the doctors who performed the autopy amesema kuwa alinoticekuwa ubongo wa Kanumba umevimba sana, na yeye moja kwa moja aka suspect sumukusababisha ule uvimbe. As he stated alichukua kipande cha ubongo wa kanumba* +kidney for further analysis. So guys, brain concussion ya kanumba wasn'tnecessarily from kujigonga au kugongwa kichwani.MPO HAPO???

Nikamuuliza huyo polisi je yeye anaona lulu ndo muuaji? Akasema kwa kwelihadhani kama Lulu alikusudia kuua ili alitumiwa na mtu au watu bila yeye kujuakuwa anaua….sasa sakata linakuja kwamba Lulu atawataja hao watu??

Alafu akasema baada ya Kanumba kuzikwa siku ile kumbe baada ya kuzika tu watuwalienda oysterbay polisi na mawe wakiwa wanamtaka Lulu atolewe nje wamalizanenae. Akaendelea kwa kusema kuwa iwapo Lulu atashinda kesi hawezi tena kuishinchi hii hata iweje. Sababu raia wenye hasira kali watamuua tu.

And according to his experience Lulu hatoki segerea in less than a year….

CIS angents mpooooo……what do u think happened???

April16, 2012 1:38 PM
 
Jamani mie kuhusu mtu kurekodi mtu aliyefariki kwa kweli nimeliona hili this week.

Kuna familia baba yao alikuwa anaumwa na amelazwa, watoto walikuwa strong (inategemea na mtu jamani) walimpiga baba yao picha haswa kuanzia siku mbili kabla hajafariki nadhani hapo ma dk waliwaambia Cancer yake ndio inamchukua baba wa watu.

Walimpiga picha na unaona zingine wanarekodi video, walimpiga picha mpaka last minutes, na hadi alipofariki walimpiga mpaka alipotolewa chumbani na kuwekwa sehemu wamuangalie kabla hajawekwa kwenye chumba baridi.

Wamefanya slide show JAMANI it is so moving yaani hukosi kupata ile connections ya maisha yake mwishoni, chozi lazima likutoke, niliona ni kumbukumbu nzuri sana kwa familia jamani. Wameweka kwenye TV sebuleni, picha za maishani chache tofauti na close friends, familia, za safari, alipoanza kudhoofika, kulazwa in and out na hadi mauti yalipomkuta. haina picha nyingi ila acha tu. msibani unaona picha akiwa ameshakufa amelala kafunikwa shuka hadi shingoni. May he RIP.

Kwa mie nimependa sana walichofanya nilijiuliza walipata wapi nguvu, ila jamani imelipa maana wanakumbukumbu milele ya hata generation zijazo.

So kwa watu kusema juu ya picha haina maana, alikuwa anaona ni vyema kwake na ni kitu cha kawaida kwa wengi kwa kumbukumbu.

Mimi nilishaishi mbali na nyumbani nakumbuka kupoteza nudgu na jamaa, ila hadi leo siwezi kuona chochcote cha kunikumbusha wao zaidi ya picha na video vya zamani. nadhani mnanielewa nachotaka sema naona kungekuwa na picha fulani ningepata ile strong connection yamaisha yao wa/yalikuwaje mwishoni etc.

ni maoni yangu tu mie, Mungu awe nasi.

Kwa Ray lazima aliona amefanya kitu cha kuweka fans wa Kanumba karibu na marehemu, ila kama ilivyo duniani wengi sie huwa tuna fanya vitu na kubadili kama wadau wa mablog walivyo busy kutoa posts walizoweka hata huyu mwanamke kama alivyosema nae huwa anaondoa, Kw ahiyo tofauti iko wapi kwa Ray nae kuondoa.

Sio vizuri kutafuta maneno, tutakubaliana kuwa sie binadamu huwa tuna fikira tofauti na hata angefanya kingine chochote lazima kingesemwa ndio maisha hayo.

hao ni wanafamilia,lazima watakuwa wamekubaliana.
Je, familia ya Kanumba ilimruhusu?je wamechukuliaje?au kwavile kimya,anaona ni vizuri.
af tena kifo cha ghafla kama cha stev,ni tofauti na mtu kuuguza,tayari even kisaikolojia unakuwa Strong.,coz walikuwa wanajua na walitegemea angekufa. Je tuseme Ray alitegemea?
Hiyo ya kuangalia picha its just emotional results ya kumbukumbu,hata kwenye movies za ipo.
Ray zaidi ya kukosea,amewapa watu maswali.
Huyo mdada, nae kama watanzania wengine,amekuwa na maswali pia,ila tofauti ameyatoa hadharani. Hivi kiukweli tuzungumze, Kila mtu Tz, akatoa shutuma,au mtazamo wake hadharani juu ya kifo cha stev, na kuhusu Ray..even b4 Mange kupost, je we unadhani Ray angefunga wangapi?
Jf wangapi wangefungwa,au fake id ndo zinatusave.
Wengi ndo wale, Jf under the mask, wanaponda ile mbaya, utasikia oh fulan frimaso but wakiwa tweeter sijuw facebook au anywhr hadharani, wao oh pole jaman, we love you,,God bles u, tunapenda movie zako..! But akijitokeza hadharani msemakweli mmoja, lol s/he is finished!
 
haki ya nani dunia ina mambo! KATIKA HALI YA KAWAIDA NI VIGUMU SANA KUMUHUSISHA RAY NA HILO. HALAFU KWANINI UANDIKE HABARI ZA KUCHONGANISHA WATU NYAKATI KAMA HIZI. RAY MSHUGHULISHE HUYO *****!
 
nitakuwa nimegonga utosini unabwabwaja tu..............lol.kukomaa akili mwambieni huyo mange wenu ndiio akomae akili sio ujanja kuvaa CL za bei mbaya halafu unaenda kubanana na watoto wa dr mwele...lol,nyumba za kupanga zipo hadi za buku kumi...lol

hahahahah utakuwa umegonga za utosi kweli maana hata mimi nilishangaa mapicha kibao kwenye blogspot yake alivyoenda Dubai kuanzia anacheck in,ndani ya ndege, gari lilomfuata airport, hotel aliyofikia shopping alizofanya dubai na mpaka aanarudi bongo lakini hamna picha hata moja alivyofika nyumbani kwake nikajiuliza huyu demu vp?kumbe anapewa hifadhi lol
 
Kutokana na mabalaa anayoyaanzisha kila uchwao,,,,,siku hizi wanamuita mange kimavi!
 
sure, instead of taking pics Ray was seriously supposed to call 911+ambulance urgently
in maana jamaa alikua anafurahia mwenzake akifa too strange....nimeona wtu wengi wenye roho mbaya but hii si mchezo...
 
Vilaza bana, kwa hiyo kama Ray alipiga simu kwa Lulu basi ashakuwa Muuwaji? SHAME KWA HUYO WHOA!
 
Msikieni Mange Kimambi wa u turn blog..

I AM WHO I AM..... [TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="colspan: 2"] Written by Mange [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: createdate, colspan: 2"] Sunday, 22 April 2012 02:53 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"] I am who I am. I will NEVER change for anyone! I got a loud mouth, big ego, big heart, I’m as strong as a lioness-will take a thousand men to take me down, I love passionately, I don’t do hate, I'm a drama queen, I don't take shit from anyone, I make mistakes, sometimes I fall down, I get up, I'm super loyal, I speak what's on my mind, I'm confident, I’m easy to love, I’m easy to hate, I'm a go getter, I'm a risk taker, I'm a leader, I'm influential, I'm inspiring, I'm a show off& I'm fearless. U don't like me??BITE UR HEAD OFF!!

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading"]MTANZANIA DAIMA.......SHAME ON YOU........ [/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] [/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] [/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD] Written by Mange [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: createdate"] Sunday, 22 April 2012 03:36 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Gosh, this is the kind of silly news a main stream paper in Tanzania writes.

The country is going through a major crisis right now and they actually find space, tena a really visible space to write such a stupid untrue story.

Ok, this is the last time im addressing this stupid.

SIJAWAHI KULALA NDANI IN MY ENTIRE LIFE AISEE…I HAVE NEVER SEEN THE INSIDE OF A CELL.

I mean vitu vingine tujaribu kutumia common sense, hivi Ray ni wa kunilaza mimi ndani au kunifunga????? Gosh, that will be the day!!!!

Mtanzania Daima, Irene whoever, u got wrong information and its so stupid of you to publish it without speaking to me first. I spoke to a policeman on the phone and was told wataniita if ever nitahitajika because some dude called Ray complained about something that he thinks originated from me, how is a phone conversation being translated into spending a night in jail?????

And some blogger from Minessota, instead of kumaliza shule, maana for 6yrs now bado anasoma bachelors which is a 4 yr degree. Huo muda unaotumia kuspread negativity about Mange Kimambi na kujisifia nimemkomesha Mange,Mie ndo kiboko wa Mange. Why don't u study and try to graduate kabla hujajikuta unasoma bachelors degree for 10yrs??? By the way I will keep ignoring your insults siwezi kujibishana na mtu ambae highest completed education ni secondary school, maana clearly upeo wetu ni tofauti sana.

hivi ukiona unamtukana mtu daily on your facebook page and that person doesnt respond, instead of kusema kaniogopa why dont u think KANIDHARAU AU KANIONA MJINGA???? Anyways, ndo hivyo tena inabidi uwe umesoma ili uweze kufikiria kidogo. Maana sidhani kama nitaweza ku argue na mtu ambae anaenda kusimama kwenye magari ya watu huko marekani then anapiga picha na kupost on her blog saying gari lake. and definately siwezi kumtukana mtu ambae for 5yrs anatembea na mume wa mtu, alafu anasema ye mzuri sana ungekuwa mzuri ungekuwa na mume wako mwenyewe, au huyo mume wa mtu angemwacha mkewe akuoe wewe.unajiona mzuri alafu kutwa kudandia waume za wenzio...THIS GIRL REALLY NEEDS TO GO SEAT DOWN SOMEWHERE AND SHUT THE **** UP!!!

and the other 2 women wanaosaidiana nae huko facebook ndo kabisaa i cant even deal with them mmoja ame graduate Dar es salaam University of Jollies&Q-BAR, mwingine after pursing a criminal life in the US for yrs and not even getting ki diploma kaja Dar aka graduate chuo kinaitwa TANZANIA UNIVERSITY OF MIREMBE......so i will keep ignoring u...

i promised myself 2012 no beef, so endeleeni kuni provoke na matusi on facebook sijui viblog vyenu i will never give u airtime on u-turn. i will keep ignoring you. mwisho wa siku YOU ARE A NONE MOTHERF****** FACTOR..

PS: Kama unawajua niliowaongelea hapo juu tafadhali kaa nacho rohoni naomba usitume comment yenye jina hata moja, kama unajua kuandika comments za mafumbo karibu kama hujui acha tu... nna maana yangu sana why i dont want any one's name on this post....
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Ila nataka Ray awhakikishie watanzania kuwa hakuwa na uhasama na marehemu Kanumba kwaa kuwa ni blog nyingi sana ziandika kuwa mahusiano yao hayakuwa mazuri na hawakuwa wanaongea. Na walipotaka kupatanishwa ilitoka usemi kuwa "tutamalizana kiume". Hizi ni rumours ambazo tunazisoma kama ambavyo tumesoma kwa u-turn. Lakini pia kama kweli hawakuwa karibu inakuwaje aende kwake alipopata habari amefariki au kuanguka and at the same time kuwa busy kupiga picha mwili wa marehemu before na akiwa mortuary? It was immoral maana picha pia zilisambazwa mitandaoni, japo sina hakika kama zilisambazwa na nani? Nafikiri mtu ambaye anaweza kueleza ukweli wa hali halisi ya mahusiano ya marehemu na RAY ni mdogo wa marehemu na LULU, period. Kuongea media haisaidi, tusubiri ukweli.

Kuhusu huyuu kicheche Mange, niliona ile post hapa iki accuse RAY but ukweli she is in trouble. That was too sensitive to aired in any how?
Hili swala la SETH mdogo wa marehemu kutokuwekwa ndani kuhusiana na kifo cha kaka yake linaniacha na maswali mengi sana. Seth si tu ni shahidi , bali anajua sana walioshiriki mauaji ya kaka yake. Haiingii akilini mtu kaka yako anakoroma kwa mikambi ya kifo wewe unamwacha muuaji atoke salama. Ni lazima anajua mpango mzima ila vyombo vya usalama vinamwachia kwa sababu wanazozijua wenyewe!
 
Makubwa! Kanumba alivyofariki huyo dada aliandika kwenye blog yake kua hajawahi kumuona kanumba live,wala kuongea nae kwenye simu na wala hajawahi kuangalia movie zake sasa how comes ndo wa kwanza kuacuse watu kuhusika na kifo cha great kwenye blog yake?..

Blog yenyewe imejaa udaku na unafiki acha afungwe ajifunze.
 
Makubwa! Kanumba alivyofariki huyo dada aliandika kwenye blog yake kua hajawahi kumuona kanumba live,wala kuongea nae kwenye simu na wala hajawahi kuangalia movie zake sasa how comes ndo wa kwanza kuacuse watu kuhusika na kifo cha great kwenye blog yake?..

sense of humour ....!
 
makubwa! Kanumba alivyofariki huyo dada aliandika kwenye blog yake kua hajawahi kumuona kanumba live,wala kuongea nae kwenye simu na wala hajawahi kuangalia movie zake sasa how comes ndo wa kwanza kuacuse watu kuhusika na kifo cha great kwenye blog yake?..

huyu mdada anataka kusafiria nyota ya marehemu.i hate u t
 
MANENO YA MWENYE BLOG YA U-TURN............................

HUYO RAY HATA BAADA YA KUFANYA MA INTERVIEW KIBAO NA KUPELEKA STORY KWENYE MAGAZETI

MASKINI YA MUNGU HATA PICHA YAKE HAWAKUWEKA GAZETINI, AMENUNAJE HUKO ALIKO....,...

MAMA U-TURN NIMEUZAJE SURA???? NA FULL NAME JUU....LOLEST....

Gosh, this is the kind of silly news a main stream paper in Tanzania writes.

The country is going through a major crisis right now and they actually find space, tena a really visible space to write such a stupid untrue story.

Ok, this is the last time im addressing this stupid.

SIJAWAHI KULALA NDANI IN MY ENTIRE LIFE AISEE…I HAVE NEVER SEEN THE INSIDE OF A CELL.

I mean vitu vingine tujaribu kutumia common sense, hivi Ray ni wa kunilaza mimi ndani au kunifunga????? Gosh, that will be the day!!!!

Mtanzania Daima, Irene whoever, u got wrong information and its so stupid of you to publish it without speaking to me first. I spoke to a policeman on the phone and was told wataniita if ever nitahitajika because some dude called Ray complained about something that he thinks originated from me, how is a phone conversation being translated into spending a night in jail?????

And some blogger from Minessota, instead of kumaliza shule, maana for 6yrs now bado anasoma bachelors which is a 4 yr degree. Huo muda unaotumia kuspread negativity about Mange Kimambi na kujisifia nimemkomesha Mange,Mie ndo kiboko wa Mange. Why don't u study and try to graduate kabla hujajikuta unasoma bachelors degree for 10yrs??? By the way I will keep ignoring your insults siwezi kujibishana na mtu ambae highest completed education ni secondary school, maana clearly upeo wetu ni tofauti sana.

hivi ukiona unamtukana mtu daily on your facebook page and that person doesnt respond, instead of kusema kaniogopa why dont u think KANIDHARAU AU KANIONA MJINGA???? Anyways, ndo hivyo tena inabidi uwe umesoma ili uweze kufikiria kidogo. Maana sidhani kama nitaweza ku argue na mtu ambae anaenda kusimama kwenye magari ya watu huko marekani then anapiga picha na kupost on her blog saying gari lake. and definately siwezi kumtukana mtu ambae for 5yrs anatembea na mume wa mtu, alafu anasema ye mzuri sana ungekuwa mzuri ungekuwa na mume wako mwenyewe shoga, au huyo mume wa mtu angemwacha mkewe akuoe wewe.unajiona mzuri alafu kutwa kudandia waume za wenzio...THIS GIRL REALLY NEEDS TO GO SEAT DOWN SOMEWHERE AND SHUT THE **** UP!!!

and the other 2 women wanaosaidiana nae huko facebook ndo kabisaa i cant even deal with them mmoja ame graduate Dar es salaam University of Jollies&Q-BAR, mwingine after pursing a criminal career in the US for yrs and not even getting ki diploma kaja Dar akapata akili ya kujiendeleza kielimu and finally mwaka jana aka graduate chuo kinaitwa TANZANIA UNIVERSITY OF MIREMBE/VICHAA......so i will keep ignoring them, maana hawa watu siwawezi na hawachoki. wananiwaza wakilala,wakiamka,wakila,wakinya,wakiwa wanangonoka. i mean we mtu facebook page yake imejaa Mange Kimambi, Mange Kimambi,Mange Kimambi ,hivi huyo mtu ni ana akili timamu kweli? si wa kumsamehe bure tu.

i promised myself 2012 no beef, so endeleeni kuni provoke na matusi on facebook sijui viblog vyenu i will never give u airtime on u-turn. i will keep ignoring you. mwisho wa siku YOU ARE A NONE MOTHERF****** FACTOR..

PS: Kama unawajua niliowaongelea hapo juu tafadhali kaa nacho rohoni naomba usitume comment yenye jina hata moja, kama unajua kuandika comments za mafumbo karibu kama hujui acha tu... nna maana yangu sana why i dont want any one's name on this post....
 
Mage Kimambi ana laana ya mama ake
Aliyekufa Tandale alafu yeye akamkana na ukotokea msibani mpaka ***** akazikwa na mtaa.shame on her kwani mzungu alizaa nae kenzu amelala mbele na mjamaika amshikuru mwele kumpa ifadhi katika chumba cha watoto wake.na ana ujanja mganga wake kafa now days anajifanya ana NGo ya kusaidia yatima ili apate pesa za kwenda club.Shame on you Mange **** you and get lost una laana wewe unaetumia yatima ili upate pesa ya tekila
 
Mage Kimambi ana laana ya mama ake
Aliyekufa Tandale alafu yeye akamkana na ukotokea msibani mpaka ***** akazikwa na mtaa.shame on her kwani mzungu alizaa nae kenzu amelala mbele na mjamaika amshikuru mwele kumpa ifadhi katika chumba cha watoto wake.na ana ujanja mganga wake kafa now days anajifanya ana NGo ya kusaidia yatima ili apate pesa za kwenda club.Shame on you Mange **** you and get lost una laana wewe unaetumia yatima ili upate pesa ya tekila
 
hao ni wanafamilia,lazima watakuwa wamekubaliana.
Je, familia ya Kanumba ilimruhusu?je wamechukuliaje?au kwavile kimya,anaona ni vizuri.
af tena kifo cha ghafla kama cha stev,ni tofauti na mtu kuuguza,tayari even kisaikolojia unakuwa Strong.,coz walikuwa wanajua na walitegemea angekufa. Je tuseme Ray alitegemea?
Hiyo ya kuangalia picha its just emotional results ya kumbukumbu,hata kwenye movies za ipo.
Ray zaidi ya kukosea,amewapa watu maswali.
Huyo mdada, nae kama watanzania wengine,amekuwa na maswali pia,ila tofauti ameyatoa hadharani. Hivi kiukweli tuzungumze, Kila mtu Tz, akatoa shutuma,au mtazamo wake hadharani juu ya kifo cha stev, na kuhusu Ray..even b4 Mange kupost, je we unadhani Ray angefunga wangapi?
Jf wangapi wangefungwa,au fake id ndo zinatusave.
Wengi ndo wale, Jf under the mask, wanaponda ile mbaya, utasikia oh fulan frimaso but wakiwa tweeter sijuw facebook au anywhr hadharani, wao oh pole jaman, we love you,,God bles u, tunapenda movie zako..! But akijitokeza hadharani msemakweli mmoja, lol s/he is finished!

Huyo dada ameiandika hiyo habari kishabiki na kubase upande mmoja, hata aliyemgumu kuelewa anaelewa kuwa anamaanisha Ray amehusika moja kwa moja. Swala la kusimamia eti kapiga picha kabla hajafa au angeita sijui 999 hiyo ni gut ya mtu na sasa nikawaida sana kutokulia mpendwa wako akifa hata kama hukutegemea yaani haimaanishi umefurahia kifo. Huyo dada anastahili kufunzwa na dunia maana anachotaka kufanya ni mauaji.

Unajua tetesi zinazotolewa na magazeti ya udaku zimekaa kidaku lakini pitia vizuri alivyoandika huyu dada amemaanisha kapata data kutoka kwenye chanzo tena polisi, kwa mtanzania wa leo ukimwambia hivyo atachukuliaje?
 
MANENO YA MWENYE BLOG YA U-TURN............................

HUYO RAY HATA BAADA YA KUFANYA MA INTERVIEW KIBAO NA KUPELEKA STORY KWENYE MAGAZETI

MASKINI YA MUNGU HATA PICHA YAKE HAWAKUWEKA GAZETINI, AMENUNAJE HUKO ALIKO....,...

MAMA U-TURN NIMEUZAJE SURA???? NA FULL NAME JUU....LOLEST....

Gosh, this is the kind of silly news a main stream paper in Tanzania writes.

The country is going through a major crisis right now and they actually find space, tena a really visible space to write such a stupid untrue story.

Ok, this is the last time im addressing this stupid.

SIJAWAHI KULALA NDANI IN MY ENTIRE LIFE AISEE…I HAVE NEVER SEEN THE INSIDE OF A CELL.

I mean vitu vingine tujaribu kutumia common sense, hivi Ray ni wa kunilaza mimi ndani au kunifunga????? Gosh, that will be the day!!!!

Mtanzania Daima, Irene whoever, u got wrong information and its so stupid of you to publish it without speaking to me first. I spoke to a policeman on the phone and was told wataniita if ever nitahitajika because some dude called Ray complained about something that he thinks originated from me, how is a phone conversation being translated into spending a night in jail?????

And some blogger from Minessota, instead of kumaliza shule, maana for 6yrs now bado anasoma bachelors which is a 4 yr degree. Huo muda unaotumia kuspread negativity about Mange Kimambi na kujisifia nimemkomesha Mange,Mie ndo kiboko wa Mange. Why don’t u study and try to graduate kabla hujajikuta unasoma bachelors degree for 10yrs??? By the way I will keep ignoring your insults siwezi kujibishana na mtu ambae highest completed education ni secondary school, maana clearly upeo wetu ni tofauti sana.

hivi ukiona unamtukana mtu daily on your facebook page and that person doesnt respond, instead of kusema kaniogopa why dont u think KANIDHARAU AU KANIONA MJINGA???? Anyways, ndo hivyo tena inabidi uwe umesoma ili uweze kufikiria kidogo. Maana sidhani kama nitaweza ku argue na mtu ambae anaenda kusimama kwenye magari ya watu huko marekani then anapiga picha na kupost on her blog saying gari lake. and definately siwezi kumtukana mtu ambae for 5yrs anatembea na mume wa mtu, alafu anasema ye mzuri sana ungekuwa mzuri ungekuwa na mume wako mwenyewe shoga, au huyo mume wa mtu angemwacha mkewe akuoe wewe.unajiona mzuri alafu kutwa kudandia waume za wenzio...THIS GIRL REALLY NEEDS TO GO SEAT DOWN SOMEWHERE AND SHUT THE **** UP!!!

and the other 2 women wanaosaidiana nae huko facebook ndo kabisaa i cant even deal with them mmoja ame graduate Dar es salaam University of Jollies&Q-BAR, mwingine after pursing a criminal career in the US for yrs and not even getting ki diploma kaja Dar akapata akili ya kujiendeleza kielimu and finally mwaka jana aka graduate chuo kinaitwa TANZANIA UNIVERSITY OF MIREMBE/VICHAA......so i will keep ignoring them, maana hawa watu siwawezi na hawachoki. wananiwaza wakilala,wakiamka,wakila,wakinya,wakiwa wanangonoka. i mean we mtu facebook page yake imejaa Mange Kimambi, Mange Kimambi,Mange Kimambi ,hivi huyo mtu ni ana akili timamu kweli? si wa kumsamehe bure tu.

i promised myself 2012 no beef, so endeleeni kuni provoke na matusi on facebook sijui viblog vyenu i will never give u airtime on u-turn. i will keep ignoring you. mwisho wa siku YOU ARE A NONE MOTHERF****** FACTOR..

PS: Kama unawajua niliowaongelea hapo juu tafadhali kaa nacho rohoni naomba usitume comment yenye jina hata moja, kama unajua kuandika comments za mafumbo karibu kama hujui acha tu... nna maana yangu sana why i dont want any one's name on this post....

ana matatizo sana mange kimavi dah hakomii tu anazidi kuonyesha alivyo mpuuzi na ukosefu wa akili nilitegemea angeomba radhi kwa wasomaji wake kwa uzushi aliomzushia ray aiseee ray ampeleke mahakamani haraka sana ajue nini maana ya sheria.
 
Back
Top Bottom