Ray C abadili msimamo kuhusu mwanaume wa kumuoa, asema wanaume wa mitandaoni hamna kitu

Ray C abadili msimamo kuhusu mwanaume wa kumuoa, asema wanaume wa mitandaoni hamna kitu

Ray C ananikosha Sana. Ni dada mzuri,mkweli kwa asilimia nyingi. Macho yake!! Mhhh! Namkubali. Akinipa nafasi nimwimbie verses zangu nitafurahi
 
Kuna tofauti kubwa kati ya Celebrity na Sell ability, wengi tulionao sisi ni Sell ability wanaishi maisha ya kuigiza baadaye wakirudi kwenye uhalisia wanajikuta wamechemka, Vizazi vilishaondolewa hovyo hovyo ndio maana wakinasa Mimba sahizi hawaamini ni mbio kwenye Magazeti na Instagram Kujitangaza.

Tukubali tukatae huyu dada anajutia historia yake ya hapo nyuma si nzuri mpaka kufikia hatua ya kutafuta Mume kwenye mitandao ujue yamemfika shingoni na umri una mtupa.

Hayo ni maisha ya wasanii wengi wa hapa bongo.
 
Leo tunamnyooshea vidole Ray C na kumsema.

Lakini kosa alilofanya ni kosa ambalo wanawake wengi tunalifanya.

We don't know when to stop and grow up.

Mume ni stara. Watoto ni faraja.

So badala ya lawama. Tujifunze na tujirekebishe.

Nothing but time destroys man.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya Celebrity na Sell ability, wengi tulionao sisi ni Sell ability wanaishi maisha ya kuigiza baadaye wakirudi kwenye uhalisia wanajikuta wamechemka, Vizazi vilishaondolewa hovyo hovyo ndio maana wakinasa Mimba sahizi hawaamini ni mbio kwenye Magazeti na Instagram Kujitangaza.

Tukubali tukatae huyu dada anajutia historia yake ya hapo nyuma si nzuri mpaka kufikia hatua ya kutafuta Mume kwenye mitandao ujue yamemfika shingoni na umri una mtupa.

Hayo ni maisha ya wasanii wengi wa hapa bongo.

Umetisha
 
Nani Aangaike Na Teja Alosto.Labda Aende Kongo Lakini Sio Bongo Hii Nnayoijua Mimi.Hata Side Mnyamwezi Hawezi Kukubali Kuuziwa Mbuzi Kwenye Gunia.RayC Wa Sasa Ni Kama Furushi La Mavi..
 
Leo munamponda Ray C wakati ndiyo ameamua kukubali kwa public kuwa ana tatizo la uteja na yuko kwenye tiba.
Celebrities wangapi wana tatizo hilo hawakubali na wamekuwa ndiyo chanzo cha madem/boy friends zao nao kutumbukia huko!
wengine wasanii wa kiume wanagongwa na jamii ipo kimya tu.
kwanini tusi apreciate kwakuwa mfano wa kuondoa tatizo ambalo lipo na linakuwa?amekuwa role model kwa walio katika matibabu wengi tu.
kesho mwanao anaweza kuwa kama Ray C
 
Back
Top Bottom