Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna tofauti kubwa kati ya Celebrity na Sell ability, wengi tulionao sisi ni Sell ability wanaishi maisha ya kuigiza baadaye wakirudi kwenye uhalisia wanajikuta wamechemka, Vizazi vilishaondolewa hovyo hovyo ndio maana wakinasa Mimba sahizi hawaamini ni mbio kwenye Magazeti na Instagram Kujitangaza.
Tukubali tukatae huyu dada anajutia historia yake ya hapo nyuma si nzuri mpaka kufikia hatua ya kutafuta Mume kwenye mitandao ujue yamemfika shingoni na umri una mtupa.
Hayo ni maisha ya wasanii wengi wa hapa bongo.
Katumika weeee,kabwia ngada weee,leo nani Wa kuuvaa huo mkenge,