Ray C afungua mlango kwa Mwanaume yeyote anayetaka kumuoa

Me masharti yote sawa ila hilo la kukariri nyimbo zake zote, kwa kweli sidhani kama nitaweza maana hata wimbo wa taifa wenyewe unanishinda.

Ila duniani kuna vituko sijapata ona asee.
 
Yaani katumika hadi hakuna kilichobaki halafu anatafuta mume wa kumuoa kwa hayo masharti, huyu dada bado hajapona vizuri.
 
Mtu umetumika weee mbele nyuma,umepakatwa mpaka na vibabu eti leo unatafuta mume?
Ukipata mume kwa namna hii.Tafadhari kapime akili yake kujua kama sio kichaa
 
Mimi nipo ila unaweza kotekote katika nanihii ile mida ya nanihii oohh sorry namaanisha unajituma ile mida ya usiku? ukizigatia wengine tumeishi Mombasa.
 
kwa sababu utakwenda kuuguza kansa ya ngozi na dawa za kupinguza uteja.Watoto nao kuwa wateja vilevile
 
Ray-C bado hajawa alright...nikicheki picha zake za selfie insta yale macho yake yana kila dalili za uwendawazimu..
 
Kama kuna mwanaume atampata basi atakua mwanasesere wake hahahah
 
Mwanaume anayekubali hayo masharti Anaoa au Kuolewa?
 
Ile dozi aliyokuwa analilia alipata?
 
Vigezo vyote 10 ni vya kijinga na kipuuzi. Inaonesha jinsi gani alivyo mweupe kichwani.

Hayupo tayari na hajajiandaa kuwa mke wa mtu.

Uteja bado unamsumbua.
 
Eti simu moja sijui laini moja!!!! Sasa nikisafiri kikazi hiyo simu tunaifanyaje?
 
Hahahahahahahaha aisfe dah ama kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni ,

Dah umeshakuwa historia tayari.
 
Hayo masharti yake anatakiwa yy ndio aoe,kwani wakati akiwa chicha alikuwa wp??anamaliza starehee zote ndio anakuja kutuenjoy hapa kwanza nna wasiwasi ameshapigiwa 0713.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…