Ray C afungua mlango kwa Mwanaume yeyote anayetaka kumuoa

Ray C afungua mlango kwa Mwanaume yeyote anayetaka kumuoa

figganigga

Hakuna mwanaume anayejitambua atakayemchukua.

Pole yake ila nahisi anataka kuwa na familia japo kachelewa na ameshaharibu mnooo. Alinyea kwenye CV yake mwenyewe akubali kuzalishwa alee watoto otherwise mtu mwenye akili timamu hawezi kumuoa teja eti anasema masharti!
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume mnzima uimbe nyimbo za kihindi? Hv mtu unajiskiaje kuweka uchafu kama huu mtandaoni??

Kuna mawili hapa; akili bado finyu,ana msongo wa mawazo,au anawazingua watu tu.
 
All the best dada but bora uchukua serengeti boys ka mimi um sure sintakulet down Rehema
 
Mimi nimekubali masharti yake yote...İla na mimi nina masharti yangu mawili tu. Akubali kuwa mke wa pili na akubali kuwa muislamu...

Mkuu mchukue Kabsa tutakupa na nyongeza
 
Inamaana mabwana zake wote aluokuwa nao huko nyuma, hapakuwa na mwenye hizo sifa? Amtafite yeyote na kisha amtengeneze.
 
Kwa ushauri wangu mimi, Dada yetu akubali kuingia gharama na atafute Mariooo!
 
hata mwanaume anapotaka owa hana mashart yakitwana namna, xa atakua anaowa au kuolewa!! ujana wake alikua wapi!? leo ubibi umefika nataka mume, ngoja 2one coz bongo adi mashoga wapo, xo hawez kosa kenge
 
Angekua hajagawa hiyo kitu sana,tungejitokeza,lakin papuchi itakua ishatepeta sana ladha hakuna
 
Huyo mme amuumbe mwenyewe. Wanaume wa kawaida hawawezi kuishi masharti ya kijuha namna hiyo! Ray c anataka kuoa si kuolewa!
 
Back
Top Bottom