a) KutoshekaBaada ya kutosheka au kukosa soko?
Hapo jibu kweli itakuwa c)a) Kutosheka
b) Kukosa soko
c) a & b
Hii Sheria angesema kipindi hicho yupo kwenye bei ya soko.Sasa hivi kachoka anataka kutuuzia mbuzi kwenye gunia.View attachment 666504
Mi nadhani mimba za utotoni zitapungua naungana na wewe dada ray c
noumaa xana duuuhHii Sheria angesema kipindi hicho yupo kwenye bei ya soko.Sasa hivi kachoka anataka kutuuzia mbuzi kwenye gunia.
Apambane na Hali yake
Anataka na nyie msifaidi! Achana naye.Hahaaa baada ya kula ujana wake sasa ndio kaona hiyo ....napita [emoji4]