Ray C aiomba Serikali ipitishe sheria kama Oman, kusiwe na mahusiano kati ya Mwanaume na mwanamke bila ndoa

Ray C aiomba Serikali ipitishe sheria kama Oman, kusiwe na mahusiano kati ya Mwanaume na mwanamke bila ndoa

Ray C
Hafikirii vizur hajui mkulu anachepuka na yule mtoto mzuri mzuri ambaye Ni waziri wa nanihiiiii.........
Sasa awezaje..!?
 
Heheh hivi huyu binti kaolewa?

Wakati mwingine stress zinapelekea watu kuwaza kistress stress...
 
Kuna jambo dada yenu anataka wafundisha mabinti, msikilizeni mumuelewe
 
Yakwake imekakamaa kama ya Bibi kizee kwa mikuki iliyopitia anajifanya kuwa na uchungu. Huyu hana jipya, km kuchoropoa kachoropoa sn
 
Kwahiyo wakuu tunaamuaje kuhusu manungayaembe?
 
Back
Top Bottom