Ray C aiomba Serikali ipitishe sheria kama Oman, kusiwe na mahusiano kati ya Mwanaume na mwanamke bila ndoa

Ray C aiomba Serikali ipitishe sheria kama Oman, kusiwe na mahusiano kati ya Mwanaume na mwanamke bila ndoa

niggerchafu

Member
Joined
Dec 28, 2017
Posts
26
Reaction score
22
Ray c 2.jpg

Mi nadhani mimba za utotoni zitapungua naungana na wewe dada ray c
 
Pointi iliyo simama,inaonekana itawaumiza wanaume lakini Ukweli Wanawake wengi watafungasha kurudi makwao kwn ni wengi wamewekwa mjini kw hii kitu hii(Bumbura).
Pole Dada Rayc mzinga umebaki hauna nyuki wala asali una dalili tu kuwa ulisha wahi ma na nyuki
 
Huyo angekuwa Oman angekuwa angeshanyongwa kitambo sana. Atoe kwanza boriti kwenye jicho lake!
 
Pointi iliyo simama,inaonekana itawaumiza wanaume lakini Ukweli Wanawake wengi watafungasha kurudi makwao kwn ni wengi wamewekwa mjini kw hii kitu hii(Bumbura).
Pole Dada Rayc mzinga umebaki hauna nyuki wala asali una dalili tu kuwa ulisha wahi ma na nyuki
Ulisha wahi kuwa na nyuki
 
Nakumbuka wasanii wahihojiwa kwa ulizwa,je? Unaye mpenzi/mchumba?,Huwa wanajibu:"SIJAMPATA 'MR RIGHT",jibu hili hutolewa huku ikiwa inajulikana anamahusiano ya kimapenzi na wanaume tofauti kwa nyakati tofauti.
Aisee, siku zikienda huwa ule msururu wa 'watangaza nia hutoweka'
 
Acha kumdanganya akili fupi ni akili fupi

that is impracticable in our society and Africa in general

Nipe sababu moja baada ya ingine by listing kwamba ni impractical!

Haya anza :

1:...........

2:...........

Etc

Etc

Tuanze kuona sababu uji kabisa!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom