ObieTrice
Senior Member
- Jun 27, 2017
- 159
- 154
rayctanzania: Unajua nini ! Kwenye maisha usimuogope binadamu mwenzio ila muheshimu tu kama na yeye anakuheshimu lakini ! Maana kuna binadamu wengine wanajihisi kama wao ndio Mungu vile ! Afu ukimuuliza mwisho wa Safari yake kwenye hii dunia lini ? Kamwe hatokupa jibu maana yeye mwenyewe Hajui kama hâta baiskeli tu inaweza kumuondoa duniani !? Sasa iweje akutabirie maisha yako angali ya kwake hawezi tabiri !!!!!!! Inafika time unatakiwa kutambua hakuna mtu mwenye mamlaka ya maisha ya mtu mwingine zaid ya wewe mwenyewe ! [HASHTAG]#Usimuogope[/HASHTAG] binadamu hata akiwa ana mdomo wa kuongea kama chiriku ! Mdomo hauuui sanasana kuongea sana kunachosha tu akili !Tuliza akili yako fatilia yanayokuhusu kwenye maisha yako,! Ndio ngazi peke yake itakayokufikisha unapotaka ! Ukiwa unawaza sana kuhusu binadamu mwenzio nini anasema juu yako ! Anaongea nini kuhusu wewe ! Atakufikiriaje !Basi utakuwa mtumwa kwake bila wewe mwenyewe kulitambua hilo ![HASHTAG]#AkiliKumkichwa[/HASHTAG]