Ray C ajipa Raha Mwenyewe ndani Ya Swimming Pool huku, nakuandika ujumbe mzito

Ray C ajipa Raha Mwenyewe ndani Ya Swimming Pool huku, nakuandika ujumbe mzito

Kwa upande mwingi ameongea point sana,watu wengi tunakuwa depressed just kwa kufikiria tuu wenzetu wanafikiria nini au wanasema nini juu yetu
Ingawa sijaelewa hii style ya wanawake ma star kuonyesha sehemu zao za makalio mda mwingine mpaka kufanya twerking na wiggling huwa wanakuwa wanamaanisha nini kuwa hata wao wanasupport kuwa siku hizi kuzibuliwa chamber ndio habari ya mjini kwa hiyo wazibuliwe tuu au huwa ni nini?
 
Hivi dada yake aliyekuwa DC kipindi cha JK yuko wapi siku hizi?
 
Mateja walikuwa wanamuuza hadi mia tano, watu walimla sana hasa makonda na wapiga debe,mitaa ya kinondoni alikuwa mchafu kama mwehu.
[emoji13] [emoji13] kwa kiki finyu kama izo hawezi tusua tena,limebaki jina tu, Angekuja kivingine lakini co kiivyo
 
Ameshasema hajali maneno yenu!.. Kama alikua teja sasahiv anajitambua tuanzie hapo maana wapo wengi wameshindwa, sio kila kitu kudhihaki tu we muombe Mola yasikukute.. Km una mtoto au ndg wakarib.

Watu mnachangia upuuzi sana.. Na kuhukumu!
Anadanganya wasiomuona kitaani kuna siku alikua Meridian pale Kino amelewa anapiga mizinga ya bia na ku flirt,ukiona mtu aliyeacha uteja anakunywa pombe tegemea siku yeyote kurudia sembe
 
Ukiingia kwenye hayo maji ukitoka lazima ubembee
 
Back
Top Bottom