lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 12,661
- 26,457
Mkuu unataka kusema unahofia hao watu kumpa ngoma?😱ha ha ha ha ha ha yani sijui kama hakupata ngoma kipindi kile da watu wameosha sana rungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unataka kusema unahofia hao watu kumpa ngoma?😱ha ha ha ha ha ha yani sijui kama hakupata ngoma kipindi kile da watu wameosha sana rungu
sipigi. huyo teja kabisa kifo nje njeAkikupa bure vipi hupigi?
Mkuu mateja walikua wanamuuza shi mia tano ili wazichange wakanunue unga so kila mtu akawa anamgongaMkuu unataka kusema unahofia hao watu kumpa ngoma?😱
sipigi. huyo teja kabisa kifo nje nje
Mimi naona kama hao wanunuaji ndio wa kuhofia hivi.😱😱Mkuu mateja walikua wanamuuza shi mia tano ili wazichange wakanunue unga so kila mtu akawa anamgonga
Ila ni kweli binadamu tunajifanya sana kujua maisha ya wengine kana kwamba una hati miliki na maisha ya mtuhakuna kitu hapo, zilipendwa tu hizo
Wewe kwa ujasiri huo unaweza kuwa gaidi kabisa, tunaanza kufuatilia nyendo zako kwa ukaribu zaidi!Duh hata bana mm akinipa nafunga turbo kbs
Yaaaani sidhani kama bado kuna Me wanamtamni ku dO na huyo aiseeeeeeeha ha ha ha ha ha yani sijui kama hakupata ngoma kipindi kile da watu wameosha sana rungu
[emoji13] [emoji13] kwa kiki finyu kama izo hawezi tusua tena,limebaki jina tu, Angekuja kivingine lakini co kiivyoMateja walikuwa wanamuuza hadi mia tano, watu walimla sana hasa makonda na wapiga debe,mitaa ya kinondoni alikuwa mchafu kama mwehu.
Mimi hata dushe haisimamisipigi. huyo teja kabisa kifo nje nje
labda ma mbwiga wa mkoani huko wasiomjuaYaaaani sidhani kama bado kuna Me wanamtamni ku dO na huyo aiseeeeeee
Mkuu huyo dc anahusianaje hapaHivi dada yake aliyekuwa DC kipindi cha JK yuko wapi siku hizi?
kumu assistMkuu huyo dc anahusianaje hapa
familia waliisha mshindwa ndio akaangukia mikononi mwa matejakumu assist
aisee!!!!familia waliisha mshindwa ndio akaangukia mikononi mwa mateja
Anadanganya wasiomuona kitaani kuna siku alikua Meridian pale Kino amelewa anapiga mizinga ya bia na ku flirt,ukiona mtu aliyeacha uteja anakunywa pombe tegemea siku yeyote kurudia sembeAmeshasema hajali maneno yenu!.. Kama alikua teja sasahiv anajitambua tuanzie hapo maana wapo wengi wameshindwa, sio kila kitu kudhihaki tu we muombe Mola yasikukute.. Km una mtoto au ndg wakarib.
Watu mnachangia upuuzi sana.. Na kuhukumu!