Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We hujaliwa sana?kipindi amekua teja wahuni wamemla sana pale manyanya na kule kinondoni msisiri
kama wewe tu mkuuWe hujaliwa sana?
Wewe kwa ujasiri huo unaweza kuwa gaidi kabisa, tunaanza kufuatilia nyendo zako kwa ukaribu zaidi!
kweli..hakuna kitu hapo, zilipendwa tu hizo
Hii hadithi yako inatufundisha niniSiku moja tulimbatisha pale kinondoni tukaondoka naye alikuwa anataka madawa tu tulipiga sana kwa siku tatu alikuwa ukimpa unga lile jicho unaweza kufa tulipo choka tukaja kumuacha njiani nikaona kwenye gazeti alitaka kujichinja akachukuliwa na polisi
Kwenye game ya music ukififia kwa scandal kurudi tena on top sahau cha muhimu aongee vizuri na kikwete amsaidie hata mtaji kidogo afungue shamba la greenhouse auze mbogamboga. Akubali akatae music una stress sana akitoa nyimbo ikabuma tena aise anaweza changanyikiwa akarudi tena.cha muhimu afute kabisa hata hiyo acc ya insta ajiweke mbali na umaarufu aanze upya ktk nyanja nyingime otherwise ataumia tena...ushauri huu unamfaa hata chid benz pia...hata chid atoe ngoma kali kiasi ghn hawezi rudi level aliyokuwa beforeAnatakiwa aachane na kutafuta kiki kwa mambo yasiyo na msingi, akazanie kuachia ngoma nzuri apush mziki wake tu maana bado wapenzi anao