Ray C ajipa Raha Mwenyewe ndani Ya Swimming Pool huku, nakuandika ujumbe mzito

Ray C ajipa Raha Mwenyewe ndani Ya Swimming Pool huku, nakuandika ujumbe mzito

Kweli wakati ukuta amezimika ghafla hasikiki tena na umaarufu aliokuwa nao hii ndio dunia
 
Anatakiwa aachane na kutafuta kiki kwa mambo yasiyo na msingi, akazanie kuachia ngoma nzuri apush mziki wake tu maana bado wapenzi anao
 
Madawa huwezi kupona, Huyu dem alipotea mazimaaa kuna siku alisema atatoa Album na tayari imebaki Cover tu aiweke sokoni hadi leo kimya
kila siku anasema hivyo hivyo ooooh narudi narudi wapi!
 
Siku moja tulimbatisha pale kinondoni tukaondoka naye alikuwa anataka madawa tu tulipiga sana kwa siku tatu alikuwa ukimpa unga lile jicho unaweza kufa tulipo choka tukaja kumuacha njiani nikaona kwenye gazeti alitaka kujichinja akachukuliwa na polisi
 
Duuh lord eyes alaaniwe kwa kumzamisha huyu dada
 
Enzi zake huyu ndo alikuwa 'Tz sweetheart'..
 
Huyu alikuwa na enzi zake, kwasasa inabidi akubali tu ni zilipendwa
 
Siku moja tulimbatisha pale kinondoni tukaondoka naye alikuwa anataka madawa tu tulipiga sana kwa siku tatu alikuwa ukimpa unga lile jicho unaweza kufa tulipo choka tukaja kumuacha njiani nikaona kwenye gazeti alitaka kujichinja akachukuliwa na polisi
Hii hadithi yako inatufundisha nini
 
Naweza sema kwa wasanii wa kiume mtu ambaye ni bad inspiration na wanapaswa kumuangalia muda wote ili kuepuka anguko/mwisho mbaya ni MR. NICE. Kwa wasanii wa kike ni huyu RAY C
 
Anatakiwa aachane na kutafuta kiki kwa mambo yasiyo na msingi, akazanie kuachia ngoma nzuri apush mziki wake tu maana bado wapenzi anao
Kwenye game ya music ukififia kwa scandal kurudi tena on top sahau cha muhimu aongee vizuri na kikwete amsaidie hata mtaji kidogo afungue shamba la greenhouse auze mbogamboga. Akubali akatae music una stress sana akitoa nyimbo ikabuma tena aise anaweza changanyikiwa akarudi tena.cha muhimu afute kabisa hata hiyo acc ya insta ajiweke mbali na umaarufu aanze upya ktk nyanja nyingime otherwise ataumia tena...ushauri huu unamfaa hata chid benz pia...hata chid atoe ngoma kali kiasi ghn hawezi rudi level aliyokuwa before
 
Sijuwi nani alimponya UNGA HUYU......wenyewe tulikuwa tunajifaidia tu...5000 tu ya kuvuta tunalala nae....mtamu mno huyo mdada....na bado ana kipaji sana huyo cha kuimba....na bado so cute...ukipenda raha za chumbani oa huyo
 
Back
Top Bottom