Ray C ajipa Raha Mwenyewe ndani Ya Swimming Pool huku, nakuandika ujumbe mzito

ObieTrice

Senior Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
159
Reaction score
154
rayctanzania: Unajua nini ! Kwenye maisha usimuogope binadamu mwenzio ila muheshimu tu kama na yeye anakuheshimu lakini ! Maana kuna binadamu wengine wanajihisi kama wao ndio Mungu vile ! Afu ukimuuliza mwisho wa Safari yake kwenye hii dunia lini ? Kamwe hatokupa jibu maana yeye mwenyewe Hajui kama hâta baiskeli tu inaweza kumuondoa duniani !? Sasa iweje akutabirie maisha yako angali ya kwake hawezi tabiri !!!!!!! Inafika time unatakiwa kutambua hakuna mtu mwenye mamlaka ya maisha ya mtu mwingine zaid ya wewe mwenyewe ! [HASHTAG]#Usimuogope[/HASHTAG] binadamu hata akiwa ana mdomo wa kuongea kama chiriku ! Mdomo hauuui sanasana kuongea sana kunachosha tu akili !Tuliza akili yako fatilia yanayokuhusu kwenye maisha yako,! Ndio ngazi peke yake itakayokufikisha unapotaka ! Ukiwa unawaza sana kuhusu binadamu mwenzio nini anasema juu yako ! Anaongea nini kuhusu wewe ! Atakufikiriaje !Basi utakuwa mtumwa kwake bila wewe mwenyewe kulitambua hilo ![HASHTAG]#AkiliKumkichwa[/HASHTAG]

 
Tokea nione akiwa anafanyiwa vitendo vya ' Kifirauni ' na Wale ' Waarabu ' Ndugu katika ' Fukwe ' ya Coco Beach miaka 5 au 6 imepita sasa tena katika ' Gari ' na katika ' Kichaka ' kimoja jirani pale pale sina tena hamu nae na nimetokea ' Kumdharau ' kupindukia huyu Dada japo nadhani kama angepata ' management ' nzuri na Yeye pia kutuliza ' akili ' zake leo hii hata Diamond Platinum asingekuwa anatusumbua hivi. Ray C ana ' Kipaji ' sana na sijui ' Shetani ' gani alimuingilia. Kwa leo naomba niishie hapa tafadhali.
 
Ameshasema hajali maneno yenu!.. Kama alikua teja sasahiv anajitambua tuanzie hapo maana wapo wengi wameshindwa, sio kila kitu kudhihaki tu we muombe Mola yasikukute.. Km una mtoto au ndg wakarib.

Watu mnachangia upuuzi sana.. Na kuhukumu!
 
Madawa huwezi kupona, Huyu dem alipotea mazimaaa kuna siku alisema atatoa Album na tayari imebaki Cover tu aiweke sokoni hadi leo kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…