Tetesi: Ray C akimbizwa Muhimbili

Tetesi: Ray C akimbizwa Muhimbili

mkonozi

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
300
Reaction score
197
Mwanadada Ray C amekimbizwa hospitali ya rufaa ya Muhimbili asubuhii hii akiwa mahututi. Ugonjwa unaomsumbua haujajulikana, amewahishwa hospitalini hapo asubuhi hii na kaka yake Tony pamoja na mama yake baada ya kupigiwa simu wamfuate huko Kinondoni.

Tuendelee kumuombea kheri dada yetu.
 
Kwani ameanza kutumia tena sukari laini, sasa itakuwaje na mzee wa msoga hayupo sijui kama mzee wa majipu atakubali kumpeleka nje kama alivyofanya mzee wa msoga
 
Siombi mabaya, ila kwa jinsi alipofikia, Na kwa uzoefu akipona! Amrudie Mungu!
 
pole sana Ray C wauzaji hawa madawa sio washikwe
 
Maana sasa na kuomba tutachoka tu, tumeanza kuwaombea mda mrefu wanatuvunja nguvu aisee
 
Back
Top Bottom