Tetesi: Ray C akimbizwa Muhimbili

Tetesi: Ray C akimbizwa Muhimbili

Mungu wangu!
Mdakuzi umeona sasa?
Nilisema mimi,zisipofanyika jitihada za haraka na dhati tutampoteza huyu.

Hivi kwa hali aliyofikia anaachiwa wa nini huyu jamani?
Si afungiwe ndani tu?
Sasa huko anakoshinda na mateja akizidiwa si wanajisevia watakavyo?
Jamani naumia hadi machozi yananitoka.
Ray C lifestyle uliyojichagulia inagharimu maisha yako sasa!
Nani kakuambia mateja wana muda wa kujisavia shingo ya kizazi wakati starehe yao ni hiyo sukari laini tu dada yangu.
Na nguvu ya kufanya shughuli hiyo anaitoa wapi kama ulimuona Chid ndio utaelewa vizuri
 
Pamoja na kumuombea yaliyo mazuri....hawa watu wanaoleta hii kitu kwa nini serikali inawaogopa....????kamata weka detention bila kesi kwa miaka isiyopungua 10 na mateja wapelekwe kambi za jeshi kufanyishwa kazi....huku nje wana ambukiza wengine.
 
Nani kakuambia mateja wana muda wa kujisavia shingo ya kizazi wakati starehe yao ni hiyo sukari laini tu dada yangu.
Na nguvu ya kufanya shughuli hiyo anaitoa wapi kama ulimuona Chid ndio utaelewa vizuri
Nani kakudanganya?
Mimi nimewahi kuwa na ukaribu na mateja fulani.
Maana mimi napenda sana kudadisi,waliniambia mengi sana ambayo ningeambiwa na watu tofauti nao (mateja) nisingeamini.

Hayo mambo wanayafanya sana tu,pole zako kama unadhani nao 'hawaponi'.
 
Mungu wangu!
Mdakuzi umeona sasa?
Nilisema mimi,zisipofanyika jitihada za haraka na dhati tutampoteza huyu.

Hivi kwa hali aliyofikia anaachiwa wa nini huyu jamani?
Si afungiwe ndani tu?
Sasa huko anakoshinda na mateja akizidiwa si wanajisevia watakavyo?
Jamani naumia hadi machozi yananitoka.
Ray C lifestyle uliyojichagulia inagharimu maisha yako sasa!
Wanajipakulia tu, wengine utumbo, wengine kisamvu wengine steki, wengine ulimi
 
Mungu wangu!
Mdakuzi umeona sasa?
Nilisema mimi,zisipofanyika jitihada za haraka na dhati tutampoteza huyu.

Hivi kwa hali aliyofikia anaachiwa wa nini huyu jamani?
Si afungiwe ndani tu?
Sasa huko anakoshinda na mateja akizidiwa si wanajisevia watakavyo?
Jamani naumia hadi machozi yananitoka.
Ray C lifestyle uliyojichagulia inagharimu maisha yako sasa!
Alafu bila zana
 
mweee aisee wazazi wake wawe karibu nae wasimwachie ila Mungu amponye na amrudie muumba wake
 
Dah! kiuno bila mfupa kinapotea hivi hivi watu wanaangalia tu,
 
Mwanadada Ray C amekimbizwa hospitali ya rufaa ya Muhimbili asubuhii hii akiwa mahututi. Ugonjwa unaomsumbua haujajulikana, amewahishwa hospitalini hapo asubuhi hii na kaka yake Tony pamoja na mama yake baada ya kupigiwa simu wamfuate huko Kinondoni.

Tuendelee kumuombea kheri dada yetu.
Huyu anafutika kama anaendekeza coca
 
Mungu wangu!
Mdakuzi umeona sasa?
Nilisema mimi,zisipofanyika jitihada za haraka na dhati tutampoteza huyu.

Hivi kwa hali aliyofikia anaachiwa wa nini huyu jamani?
Si afungiwe ndani tu?
Sasa huko anakoshinda na mateja akizidiwa si wanajisevia watakavyo?
Jamani naumia hadi machozi yananitoka.
Ray C lifestyle uliyojichagulia inagharimu maisha yako sasa!
Princess. Ukiponyoka kwenye Unga Ukimwi Unaanza, Maana Unga na Ukimwi ni Mtu na Mdogo Wake, maana wakisha Maliza Kubwia wanaanza Kushugulikiana. Sasa hapo Kuna kau salama Princess Nifaa?

Unga ni Pepo Baya Sana, ndiyo maana Mtu Akisha Anza Kubwia Ubadilika Hata Sura, yaani unapoteza ualisia wako kabisa, Embu Fikiria Princess, Rayc Alivyo Mzuri Amekosa Nini Maskini ya Mungu, Shetani Anamtumikisha namna hiijamani!

Kazi ya Shetani ni kuku Aibisha uaibike Machonipa watu, watu wamrudie Mungu Jamani Wawa sikilize viongozi wao wa Dini ili wabadilike na Mungu awashindie Jamani.
 
Nani kakudanganya?
Mimi nimewahi kuwa na ukaribu na mateja fulani.
Maana mimi napenda sana kudadisi,waliniambia mengi sana ambayo ningeambiwa na watu tofauti nao (mateja) nisingeamini.

Hayo mambo wanayafanya sana tu,pole zako kama unadhani nao 'hawaponi'.

Hebu nigee huo ubuyu hata chemba basi nami nijue
 
Mwanadada Ray C amekimbizwa hospitali ya rufaa ya Muhimbili asubuhii hii akiwa mahututi. Ugonjwa unaomsumbua haujajulikana, amewahishwa hospitalini hapo asubuhi hii na kaka yake Tony pamoja na mama yake baada ya kupigiwa simu wamfuate huko Kinondoni.

Tuendelee kumuombea kheri dada yetu.
Asante kwa taarifa mkuu. (Kama ada yetu hapa JF) chanzo cha habari umekitoa wapi mkuu?
 
Hivi Unga unakuaje hadi mtu anashindwa kuacha. Nimetumia vilevi vyote ila hii kitu hii ndo kabisa wala sikujaribu.
 
Inasikitisha sana hasa ukizingatia waliomuingiza kwenye matatizo hayo wanaendelea kula bata
 
Back
Top Bottom