harakat
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 2,887
- 1,351
Nani kakuambia mateja wana muda wa kujisavia shingo ya kizazi wakati starehe yao ni hiyo sukari laini tu dada yangu.Mungu wangu!
Mdakuzi umeona sasa?
Nilisema mimi,zisipofanyika jitihada za haraka na dhati tutampoteza huyu.
Hivi kwa hali aliyofikia anaachiwa wa nini huyu jamani?
Si afungiwe ndani tu?
Sasa huko anakoshinda na mateja akizidiwa si wanajisevia watakavyo?
Jamani naumia hadi machozi yananitoka.
Ray C lifestyle uliyojichagulia inagharimu maisha yako sasa!
Na nguvu ya kufanya shughuli hiyo anaitoa wapi kama ulimuona Chid ndio utaelewa vizuri