Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
heshima kwako shkuba!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida sio muuzaji,shida ni akili ndogo. Mbona sumu za panya zinauzwa hawanunui ila poda tuu. Akili ndogo sana hiyo kula sumu.Halafu mnasema wauza unga wasinyongwe?
Inabidi aende Ikulu ndiko anapona sio hospitaliKwani ameanza kutumia tena sukari laini, sasa itakuwaje na mzee wa msoga hayupo sijui kama mzee wa majipu atakubali kumpeleka nje kama alivyofanya mzee wa msoga
Kwanza yeye mwenyewe akubali tatizo..watamfungia milele??Mungu wangu!
Mdakuzi umeona sasa?
Nilisema mimi,zisipofanyika jitihada za haraka na dhati tutampoteza huyu.
Hivi kwa hali aliyofikia anaachiwa wa nini huyu jamani?
Si afungiwe ndani tu?
Sasa huko anakoshinda na mateja akizidiwa si wanajisevia watakavyo?
Jamani naumia hadi machozi yananitoka.
Ray C lifestyle uliyojichagulia inagharimu maisha yako sasa!
Mkuu hii post yako design sijaielewa hivi?Siwezi Kumuonea Huruma Ray C amezaliwa mwaka 1982 ni Mtu mzima Kuingia katika madawa alijua kabisa madhara yake na hayo ndiyo maisha aliyoyachagua kwani hakua mdogo kwa kuona mifano tuu ya watu mbalimbali ya watu Ambao wanatumia mimi naungana na Mkewangu/ Mama enu mdogo Nifah we don't feel sorry for her.
Una akili sana.....Shida sio muuzaji,shida ni akili ndogo. Mbona sumu za panya zinauzwa hawanunui ila poda tuu. Akili ndogo sana hiyo kula sumu.
Marry me NifahUna akili sana.....
Kudos.
Nifah wangu mchunguzi weiyee... walikwambiajeNani kakudanganya?
Mimi nimewahi kuwa na ukaribu na mateja fulani.
Maana mimi napenda sana kudadisi,waliniambia mengi sana ambayo ningeambiwa na watu tofauti nao (mateja) nisingeamini.
Hayo mambo wanayafanya sana tu,pole zako kama unadhani nao 'hawaponi'.
Nayakumbuka maneno yako....yanaelekea kutimiaMungu wangu!
Mdakuzi umeona sasa?
Nilisema mimi,zisipofanyika jitihada za haraka na dhati tutampoteza huyu.
Hivi kwa hali aliyofikia anaachiwa wa nini huyu jamani?
Si afungiwe ndani tu?
Sasa huko anakoshinda na mateja akizidiwa si wanajisevia watakavyo?
Jamani naumia hadi machozi yananitoka.
Ray C lifestyle uliyojichagulia inagharimu maisha yako sasa!
Nifah WANAJISEVIA kitu gani? hembu dadavua bhana.Mungu wangu!
Mdakuzi umeona sasa?
Nilisema mimi,zisipofanyika jitihada za haraka na dhati tutampoteza huyu.
Hivi kwa hali aliyofikia anaachiwa wa nini huyu jamani?
Si afungiwe ndani tu?
Sasa huko anakoshinda na mateja akizidiwa si wanajisevia watakavyo?
Jamani naumia hadi machozi yananitoka.
Ray C lifestyle uliyojichagulia inagharimu maisha yako sasa!
Hahahahahaaa JF bwana?Nayakumbuka maneno yako....yanaelekea kutimia
Hata sijui mkuu,nashangaa hata mimi hilo neno limenitokaje.Nifah WANAJISEVIA kitu gani? hembu dadavua bhana.
Na wauza Sumu za Panya wanyongwe kwa sababu hakuna muuza unga anayemlazimisha mtu kutumia Narcotics.Halafu mnasema wauza unga wasinyongwe?
Hihihi!! Duh kuna kaukweli nakaona hapo...Ukute jana Jide kampa ka laki Leo amejioverdose
Amen [emoji122]Ray C, a very sad story. God give strength to her and her family to overcome this.