Tetesi: Ray C akimbizwa Muhimbili

Tetesi: Ray C akimbizwa Muhimbili

Dah! kiuno bila mfupa kinapotea hivi hivi watu wanaangalia tu,
Na ikumbukwe kuwa ukijikita kwenye matumizi ya ngada unakuwa uko na mazingira hatarishi ya magonjwa mengine.

Hapo ndo balaa zaidi ikizingatiwa kuwa shoshti akizima hata self service mboga zote kujisevia ni possible[emoji85]
 
.. Simuombei
Kumbe we una akili kama zangu eeh? Hakuna kumwombea, unaanzaje kumwombea mtu asiye jiombea? Afe tu kama walivyokufa wengine, tutapiga nyimbo zake siku nzima kama maombolezo, baada ya hapo, maisha yanaendelea
 
Hivi Lile jamaa lake la Arusha nalo si linabugia hayo maunga yao? Mbona lenyewe halikati moto?au lenyewe ni likuruu?? Linaitwa lord eyes?

Ngoja Chizan Brain akuskie aseee...!

[emoji19]
 
Nani kakudanganya?
Mimi nimewahi kuwa na ukaribu na mateja fulani.
Maana mimi napenda sana kudadisi,waliniambia mengi sana ambayo ningeambiwa na watu tofauti nao (mateja) nisingeamini.

Hayo mambo wanayafanya sana tu,pole zako kama unadhani nao 'hawaponi'.

Additional point:: Wakipanda kama Mbwa tena..kwasababu hiyo pia wauza ngada wanaopenda mademu wamedumbukia pia kwakutaka kupiga show ndefu
 
Hivi Lile jamaa lake la Arusha nalo si linabugia hayo maunga yao? Mbona lenyewe halikati moto?au lenyewe ni likuruu?? Linaitwa lord eyes?
Na huyo ndio hasa aliye muingiza mkenge binti wa watu,Mungu amponye kwa Rehema zake.
 
Additional point:: Wakipanda kama Mbwa tena..kwasababu hiyo pia wauza ngada wanaopenda mademu wamedumbukia pia kwakutaka kupiga show ndefu
Hii point yako kama ningekuwa sijui hizo habari ningesumbuka kichwa sana sababu ya uwasilishaji wako.
Anyways, asante kwa kujazia nyama.
 
Na ikumbukwe kuwa ukijikita kwenye matumizi ya ngada unakuwa uko na mazingira hatarishi ya magonjwa mengine.

Hapo ndo balaa zaidi ikizingatiwa kuwa shoshti akizima hata self service mboga zote kujisevia ni possible[emoji85]
Ni kweli haya uyasemayo kumuhusu???
 
rayc.jpg
 
Huyu anakwenda na maji .Alibahatika akatibiwa na Ikulu lakini akakosa shukurani
 
Hii point yako kama ningekuwa sijui hizo habari ningesumbuka kichwa sana sababu ya uwasilishaji wako.
Anyways, asante kwa kujazia nyama.

Ahsante kwa kunielewa Sweetie... Sasa ni wakati muafaka kwa Mh. JPM kula sahani moja na wauza NGADA wanaliangamiza hili taifa letu, alafu mtaani wanatamba saana utafikiri wamehalalishiwa kuharibu vizazi vya wazazi wenzao..inauma saana
 
Jamani inabidi kukaa mbali na watumiaji WA madawa maana unaweza changanyiwa madawa,hivi yalitengenezwaje hadi unashindwa kutoyatumia?? Ina maana huwezi kutumia ukawa na afya njema Tu ,ukaendelea ma shughuli kama kawaida,,,
Rayc wakimshughulikia atapona wamtolee hiyo damu wamuwekee safi,halaf wawe nae karibu ,sasa wanamuacha na mateja ,pole zao ndugu zake bana ndio watakaoumia zaidi
 
Back
Top Bottom