Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,004
- 3,695
Na ikumbukwe kuwa ukijikita kwenye matumizi ya ngada unakuwa uko na mazingira hatarishi ya magonjwa mengine.Dah! kiuno bila mfupa kinapotea hivi hivi watu wanaangalia tu,
Kumbe we una akili kama zangu eeh? Hakuna kumwombea, unaanzaje kumwombea mtu asiye jiombea? Afe tu kama walivyokufa wengine, tutapiga nyimbo zake siku nzima kama maombolezo, baada ya hapo, maisha yanaendelea.. Simuombei
Hivi Lile jamaa lake la Arusha nalo si linabugia hayo maunga yao? Mbona lenyewe halikati moto?au lenyewe ni likuruu?? Linaitwa lord eyes?
Nani kakudanganya?
Mimi nimewahi kuwa na ukaribu na mateja fulani.
Maana mimi napenda sana kudadisi,waliniambia mengi sana ambayo ningeambiwa na watu tofauti nao (mateja) nisingeamini.
Hayo mambo wanayafanya sana tu,pole zako kama unadhani nao 'hawaponi'.
Na huyo ndio hasa aliye muingiza mkenge binti wa watu,Mungu amponye kwa Rehema zake.Hivi Lile jamaa lake la Arusha nalo si linabugia hayo maunga yao? Mbona lenyewe halikati moto?au lenyewe ni likuruu?? Linaitwa lord eyes?
Usipende kusema usiyoyajua.Lord eyez
Hii point yako kama ningekuwa sijui hizo habari ningesumbuka kichwa sana sababu ya uwasilishaji wako.Additional point:: Wakipanda kama Mbwa tena..kwasababu hiyo pia wauza ngada wanaopenda mademu wamedumbukia pia kwakutaka kupiga show ndefu
Hivi huyo naye kapotelea wapi??Lord eyez
Ni kweli haya uyasemayo kumuhusu???Na ikumbukwe kuwa ukijikita kwenye matumizi ya ngada unakuwa uko na mazingira hatarishi ya magonjwa mengine.
Hapo ndo balaa zaidi ikizingatiwa kuwa shoshti akizima hata self service mboga zote kujisevia ni possible[emoji85]
Mkuu la kuzima sio siri.Tumwombee hayo mengine yawe hayajamkuta.Ni kweli haya uyasemayo kumuhusu???
comment ya kibabe sanaa, ila inachekesha ukiisoma!.Ngoma ikilia sana jua inataka kupasuka
Hii point yako kama ningekuwa sijui hizo habari ningesumbuka kichwa sana sababu ya uwasilishaji wako.
Anyways, asante kwa kujazia nyama.
ok, nani sasa anahusika ?Usipende kusema usiyoyajua.
Lord Eyes hausiki,walikutana gari likiwa limeshawaka.
sijui yuko wapi ?Hivi huyo naye kapotelea wapi??
Alijiharibu mwenyewe.ok, nani sasa anahusika ?