Ray C alimpomtembelea Ibra da Hustler kwenye kituo cha kusaidia watumia madawa ya kulevya

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Rehema Chalamila ‘Ray C’ baada ya mchakato wakutafuta logo kwa ajili ya foundation yake ya kupambana na kusaidia vijana wasiingie kwenye matumizi ya dawa za kulevya hatimaye ameanza kazi.

Ray C ametembelea kituo cha vijana walioamua kuachana na matumizi ya dawa za kulevya na tabia hatarishi huko Kigamboni ambapo kwenye kituo hicho Ray C alikutana na msanii aliyekua wa Nako II Nako Ibra Da Hustler.

Ibra yupo kwenye kituo hicho na vijana wengine walioachana matumizi ya dawa za kulevya ambapo Ray C amemuhoji hivyo hiyo interview itaonekana kwenye program inayoandaliwa na foundation yake.

Ibra akiwa na Ray C.


 
From Kiuno bila mfupa to Kiuno chenye minyama Uzembe
 
Unalipa hili jukwaa heshima na kulitendea haki kwa threads zako kaka unajitahidi sana.
 
Mnako Ibra na shemeji yake haaaha dunia duara kwa kweli.
 
tabia ya bwimbwi ni kwamba ukiwa unatumia una-slim,ukiacha unavimba kama puto,wasanii wengi wa marekani especially wadada wanajiingiza kwenye unga ili wabaki wembamba...mwisho wake huwa ni kifo,whitney is the dead example...
 
Hahhhhahha nasikia alivyokua akilewa hayo madawa yake watu walikua wanajipakuliaa tu mbele na nyumaa

Mhhhh ya kweli hayo mana navyojua ukiwa teja kula yke n tabu, halafu doz ya machizi ndio wanapewa wakiwa rehab nayo inanenepesha balaa
 
Duh huyu Ray C anakula nini?

Ni dawa anazotumia...

Kwa kawaida dawa wanazotumia wagonjwa akili na hao waliokuwa rehab zinasabanisha wawe wanene fatilia au chunguza hilo liko wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…