Ray C alimpomtembelea Ibra da Hustler kwenye kituo cha kusaidia watumia madawa ya kulevya

Umeanz kupiga box humu ngoja nikuitie lusungo ndio dawa yako siku hizii hahhhhhahahhha niliona ligi yenu nilichekaaaaaa

Yule bwana mdogo huwa najuana nae hanipi shida mimi, nimemkaribisha Jf miezi mi2 ilopita so usimsikilize sana bado ana L ya Jf
 
Last edited by a moderator:
Umeanz kupiga box humu ngoja nikuitie lusungo ndio dawa yako siku hizii hahhhhhahahhha niliona ligi yenu nilichekaaaaaa

Hivi uliona alivyopewa za uso na ng'wapalala kwa kuwa kibendera kule kwa diaspora? Jamaa alikuwa anakandya sana box nikashangaa siku ile anawatetea bahati nzuri akapewa za USO na wabeba box yeye na yule tajiri wa ID matola aka billionea pitgan aka RAS WISER teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Mimi naishi na ndg zngu waliokuwa wanakunywa methadonine, baada ya muda kadhaa walirudia ishu yao ya uteja.Tatizo la hili hawa jamaa wakitoka rehab wengi hawajui cha kufanya zaidi ya kurudi kwenye magenge yale yale na kingine ni kupambana na chanzo, tusiwekeze kwenye kupambana na matokeo.
 
Hivi uliona alivyopewa za uso na ng'wapalala kwa kuwa kibendera kule kwa diaspora? Jamaa alikuwa anakandya sana box nikashangaa siku ile anawatetea bahati nzuri akapewa za USO na wabeba box yeye na yule tajiri wa ID matola aka billionea pitgan aka RAS WISER teh teh teh

Dont take Jf too serious mate! Nlishangaa watu kunifatiliaa; hivi hizi comments huwa zinastick vichwani mwa watu? Av never give it a space in my brain bloke! Am mesmerised!! Why keep staring what I write?

Mkuu za asubuhi kwanza? Afu unajua hii post ni khs Ray C 🙉🙉aaagh mwenye post tusamehe tu
 
Siku hizi Lusungo mchokozi hata mi tunashindwana sanaa nahisi alibebewa demu na wabeba box ndio maana ana hasira sanaa,watu wananukuu comment kichwan acha kabisaaaaa
 
Hivi uliona alivyopewa za uso na ng'wapalala kwa kuwa kibendera kule kwa diaspora? Jamaa alikuwa anakandya sana box nikashangaa siku ile anawatetea bahati nzuri akapewa za USO na wabeba box yeye na yule tajiri wa ID matola aka billionea pitgan aka RAS WISER teh teh teh

Mi sikuonaa ila mi nakuomba uurudie utumishi tu maana unakoenda kondoo wote watakukimbiaa nakuomba uungamee umrudie Mungu wako
 
Eh duniani hakuna mtu mwembamba aisee,kawa bonge la mama!!!!
 
inapendeza
ila mbinu kuu ni kupambana na chanzo
big up ray c
 
Shangaaa wenye jamii yao wametuliaaa viberenge sasa macho kumchuzi mi naandika nitakavyo nacheka nitakavyo humu hakuna mama yangu wala baba yangu eti niogope majina fake na watu fakee watupishee ni ukweli alivyokua akilewaa watu walijiliaaa haswaaaaaa alikua akiyavutaa mbele ya machizi kibao alitegemea ninii na sio kaka zake

Be Kind Kidogo.....hautapoteza kitu.
 
mi mwenyewe nilipiga mzigo sana hapo,kipindi kile nilikuwa drugs dealer kule msisiri:
alikuwa anakuja magetoni nikimpa kete 5 akijipigilia anazima najipgia mzigo,nashukuru hana ngoma yan dah,mungu mwache aitwe mungu
 
yan huyu mungu wa kumuabudu sana tena kwa nguvu zote,
mana aisha na ray c kukosa ngoma ni mapendo ya mungu
 
Back
Top Bottom