Ray C alimpomtembelea Ibra da Hustler kwenye kituo cha kusaidia watumia madawa ya kulevya

Hahhhhahha nasikia alivyokua akilewa hayo madawa yake watu walikua wanajipakuliaa tu mbele na nyumaa
Upo negative sana jaribu kuvaa viatu vyake,usipende kuwakatisha watu tamaa hasa walioamua kubadilika na kuacha ubaya fulani,kwa nini ukumbushie matendo ya Misr kwa mtu anaekaribia Israel?wanawake wa bongo sijui kwa nini mnafurahia ku fail kwa mwenzenu
 
Yaan huyu bidada ameshakuwa bi mkubwa, na hapo bado hajazaa,, mwili umekuja kabisa, na ndio mana hata kukatika kwenye majukwaa kama ilivyokuqa awal nahis hawez tena
 
Ni maoni yangu na pia ipo wazii kwan uongo,si ameshapona kwani anaumwaaa,kafeli nini wakati karudi mzigonii kama kawaidaaa kumbukumbu hua haifutiki kamweee hata ufanyajee
 
Wangekomesha wakubwa wanaoingiza madawa ya kulevya kwanza bila hivyo atatembelea mno hapo kigamboni mpaka tairi za gari zitaishaa

Mtumiaji wa mwisho ndio kilaza!! Dawa ya dawa ni usiguse.
 
Ni maoni yangu na pia ipo wazii kwan uongo,si ameshapona kwani anaumwaaa,kafeli nini wakati karudi mzigonii kama kawaidaaa kumbukumbu hua haifutiki kamweee hata ufanyajee
Unajua vitu vinavyowafanya wa relapse hawa ex mateja?ni kumbukumbu ndio ila ina faida gani?wewe utajisikiaje mtu akukumbushie kitu kilichokuaibisha kwa jamii?fake Id zisitutoe na ubinadamu dada!
 
Unajua vitu vinavyowafanya wa relapse hawa ex mateja?ni kumbukumbu ndio ila ina faida gani?wewe utajisikiaje mtu akukumbushie kitu kilichokuaibisha kwa jamii?fake Id zisitutoe na ubinadamu dada!

achana nae mlupo uyo,ni mwanga...
 
achana nae mlupo uyo,ni mwanga...

Nakujuaa kwa kutafutiaa ban watu helooo mwanga uache kua wewe na bibi yako nije niwe mie mlupo baba yako ndio maana unaandika utumboooo byeee
 
Unajua vitu vinavyowafanya wa relapse hawa ex mateja?ni kumbukumbu ndio ila ina faida gani?wewe utajisikiaje mtu akukumbushie kitu kilichokuaibisha kwa jamii?fake Id zisitutoe na ubinadamu dada!

Hiv unadhani kila mtu hapa ataandika kama unavyotaka wewe au unachokiwaza unafikiri na mie nakiwazaa hicho kama imekukeraa unapishaa unajadili hojaa sio kunielekeza elekeza au kunishauri au msumari umechomaa mahala pakee
 
Hizi forums zipo kwa ajiri ya elimu na burudani. Wewe mwenyewe kupost utumbo hapa ndio burudani yako.

Shangaaa wenye jamii yao wametuliaaa viberenge sasa macho kumchuzi mi naandika nitakavyo nacheka nitakavyo humu hakuna mama yangu wala baba yangu eti niogope majina fake na watu fakee watupishee ni ukweli alivyokua akilewaa watu walijiliaaa haswaaaaaa alikua akiyavutaa mbele ya machizi kibao alitegemea ninii na sio kaka zake
 
All in all,,kuna kitu cha kujifunza kupitia dada yetu huyu. Hii kitu si nzuri jamani,ni kweli sympath ipo kibinadamu lakini sembe si kitu kizuri,sio kukuumbua tuu bali hata afya na future ya mtu huwa mashakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…