Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Hahhhhahha nasikia alivyokua akilewa hayo madawa yake watu walikua wanajipakuliaa tu mbele na nyumaa
Swahiba hivi kumbe una maneno heavy weight mmh
Hakuna chenye heavy weight chini ya jua labda juu ya juaa
Umeanz kupiga box humu ngoja nikuitie lusungo ndio dawa yako siku hizii hahhhhhahahhha niliona ligi yenu nilichekaaaaaa
Umeanz kupiga box humu ngoja nikuitie lusungo ndio dawa yako siku hizii hahhhhhahahhha niliona ligi yenu nilichekaaaaaa
Hivi uliona alivyopewa za uso na ng'wapalala kwa kuwa kibendera kule kwa diaspora? Jamaa alikuwa anakandya sana box nikashangaa siku ile anawatetea bahati nzuri akapewa za USO na wabeba box yeye na yule tajiri wa ID matola aka billionea pitgan aka RAS WISER teh teh teh
Dont take Jf too serious mate! Nlishangaa watu kunifatiliaa; hivi hizi comments huwa zinastick vichwani mwa watu? Av never give it a space in my brain bloke! Am mesmerised!! Why keep staring what I write?
Mkuu za asubuhi kwanza? Afu unajua hii post ni khs Ray C 🙉🙉aaagh mwenye post tusamehe tu
Hivi uliona alivyopewa za uso na ng'wapalala kwa kuwa kibendera kule kwa diaspora? Jamaa alikuwa anakandya sana box nikashangaa siku ile anawatetea bahati nzuri akapewa za USO na wabeba box yeye na yule tajiri wa ID matola aka billionea pitgan aka RAS WISER teh teh teh
Anatafuta boyfriend mkuu kama upo single jitokeze ila 40 hivi hataki viserengeti boyRay C amekuwa mnene siku hizi
Shangaaa wenye jamii yao wametuliaaa viberenge sasa macho kumchuzi mi naandika nitakavyo nacheka nitakavyo humu hakuna mama yangu wala baba yangu eti niogope majina fake na watu fakee watupishee ni ukweli alivyokua akilewaa watu walijiliaaa haswaaaaaa alikua akiyavutaa mbele ya machizi kibao alitegemea ninii na sio kaka zake
Be Kind Kidogo.....hautapoteza kitu.
Mi sikuonaa ila mi nakuomba uurudie utumishi tu maana unakoenda kondoo wote watakukimbiaa nakuomba uungamee umrudie Mungu wako
Hahahahah jamani tusiseme ukweli?