Ray C alimpomtembelea Ibra da Hustler kwenye kituo cha kusaidia watumia madawa ya kulevya

Umenena mkuu tujifunze kumpa sapoti mtu anaye au aliye onyesha nia ya kubadilika
 
ray si huwa ni cheusi mangala huu weupe ameutoa wapi? aachane pia na hii makitu la sihivyo itabidi ahitaji pia rehab ya kuacha mkorogo....
 
ray si huwa ni cheusi mangala huu weupe ameutoa wapi? aachane pia na hii makitu la sihivyo itabidi ahitaji pia rehab ya kuacha mkorogo....

inawezekana ikawa ni athari za dawa alizokuwa anakula.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…