Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kuna vijana kama wawili hivi hua kila siku wakitoka mwananyamala hospital wakipita hapa kinondoni mitaa ya garden huwa wanakua wamelewa (wanabembea) watu wakaniambia wanatoka hospitali m/nyamala kupata methadone, sasa nikawa nashangaa wanatokaje kupata dawa huku wanakua wamelewa?
Nikawa najiuliza au wanakunywa methadone then wanapitia maskani kuzimua? Ikabidi siku moja nimsimamishe mmoja akiwa na hali hiyohiyo na nilipomuuliza "mwana vipi cha leo kikali!???" Akanijibu kwamba ni methadone ndio inamfanya abembee... mpaka sasa nashindwa kuelewa mechanism ya hii dose ya methadone... ufafanuzi zaidi please!!!
Haya matatizo yangepungua sana kama wange ruhusu bange. nimesikiliza vijihotuba vya hao wanasiasa wenu sioni hata mmoja anaezungumzia mmea mtakatifu.....
mi nafikiri badala ya kuhangaika na ray c tuhangaike na tatizo hilo kwa ujumla kwani kuna waathirika wengi sana ambao wameleta madhara kwenye jamii ray c ni tone tu haina maana tukahangaika naye kwa nguvu kubwa huku tukiacha wengine wakiangamia
Kuna lodge flan mwananyamala inaitwa kifaru hua anachukua chumba na kujidunga na kupumzika hapo
Madawa ni tatizo kubwa inafaa asaidiwe nina Mtoto katumbukia kwenye hiyo kitu, alikua anasoma Mlimani mwaka wa 3 sheria akatumbukia huko dadake ni Hakimu lakini tumeshindwa hili ni Janga tusaidiane
Kuna lodge flan mwananyamala inaitwa kifaru hua anachukua chumba na kujidunga na kupumzika hapo
Na Hapo Mwananyamala Si Ndiyo Makao Makuu Ya Hiyo Kitu Kwa Hapa Nchini Tanzania?
Methadone yenyewe ni dawa ya kulevya ile
Pale kino mkuu ndo headquarter aisee alaf nje nje tu nashangaa nyie watu wa kitengo hamfuatilii au ndo bangusilo ionekane serikali kimeo
Kwahiyo Unataka Kusema Wanachokifanya Ni Kama Vile Kuchanganya Mafuta Ya Taa Ktk Petroli?
Mkuu deception inaonekana kwako wewe 90% ya mambo yanayofanyika/kutokea duniani kwako ni illusion maana una feki nyingi sana naogopa usije ukasema hata binadamu nae ni feki hahaaa!!!