Ray C ametumbukia upya kwenye janga la matumizi ya dawa za kulevya

Lazima arudie tu! Maana hakuna namna Nyingine. Mapambano dhidi ya matumizi ya dawa za kulevya hayawezi kukoma kwa kumtibia Ray C pekee hukuu nchi ikiendelea kuruhusu biuashara hii haramu Nchini. Aendelee tu kama wanavyoendelea wale wasio julikana au fahamika na Vunara wa Nchi.
 

barter trade is dead my friend. refer to double coincidence of want

halafu kumbe ni wewe mzee wa magumashi?
 
KAMA NI KWELI: Nitajibu kama ifuatavyo: Kitaalum kinalichomtokea Ray C ni RELAPSE. Hii ni hali ya aliyekuwa mtumiaji wa (mihadarati au sigara) AN ADDICT au (mtumiaji wa pombe (mlevi sugu au an alcoholic) kurudia matumizi ya baada ya kuacha kwa kipindi kirefu au kifupi.
Nini husababisha RELAPSE?
1: Mgonjwa aliye katika upataji nafuu (a recovery person) kutokuwa mwaminifu katika program yake ya uponyaji. Mfano: Kutumia dozi (methadone) wakati huo huu akiwadanganya wasimamizi wake mfano: daktari, mshauri nasaha (counselor) au msimamizi wake (sponsor) kuwa ameacha matumizi ya dawa za kulevya au pombe kumbe anaendeleana na matumizi ya vitu hivyo kwa kificho.
2: Kitu kingine ni UPWEKE (LONELINESS) hali inapojitokeza kwa mgonjwa basi ufikiri kitu pekee cha kumliwaza ni kutumia kidogo drugs au pombe na mwisho wake ujikuta amearudia tena matumizi ya vitu hivyo na hali yake kuwa mbaya zaidi kuliko hapo awali na asipopata msaada mapema hali hii inaweza kusababisha kifo. Vitu vingine ni kama kujichukia (self pity), kufanya kazi kwa muda mrefu (over working) na kuamua kutumia ili ku-relax baada ya kazi ngumu n.k, mambo ni mengi najaribu kuweka kwa kifupi.
3: Kitu kingine ni mgonjwa kuwa na matarajio makubwa sana kuliko uhalisia baada ya kupona: Mfano mtu kapewa ahadi ya kazi, usafiri, mtaji n.k then baada ya kumaliza dozi au akiwa yuko kwenye program mala anagundua kuwa vitu hivyo havitawezeka au vitachelewa kufanyiwa kazi so anahamua kurudia matumizi.
4: Kurudia marafiki wa zamani (renewing old friends) au kupenda kwenda kwenye maeneo uliyozoea kuvutia dawa za kulevya hapo awali au club na bar kwa walevi hii inaweza kuchangia kurudia kwa sababu unaenda kukutana na waathirika (I mean alcoholics not social drinkers) wakati wewe huko kwenye upataji nafuu.
5: Kutoshiriki mikutano ya Narcotics Anoymous (N.A) au Alcoholics Anoymous (A.A) katika eneo lako ambayo utoa usaidizi kwa walio katika upataji nafuu kwa kusaidia nguvu, matumaini na uzoefu jinsi ya kuishi bila matumizi ya vitu hivyo. Hii mikutano inafanyika hapa Tanzania na duniani kote. Na imekuwa ni msaada mkubwa kwa waathirika. Mambo ni mengi kwa mwenye kuhitaji msaada na maelezo zaidi tunaweza kuwasiliana kwa namba +255 789 78 05 29. E-mail: rnelsontz@yahoo.com. Asante.
 

Wenye Hicho Kitengo Chao Uliowataja Wamekusikia Mkuu Kwani Mimi Ni MJASIRIAMALI Tu Nisiye Na Mbele Wala Nyuma Na Isitoshe Sipo Huko Kwenu Tanzania Sasa Ni Mwaka Wa 7 Na Nipo Kwetu Huku Rwanda Ila Nakumbuka Tu Baadhi Ya Sehemu Na Maeneo.
Hahahaaaaa popoma bwana?
 

Asaidiwe nini tena huyu mpu..!! Ei...nilitaka tukana.
Huyu ni wakukamata na kuchapa fimbo nyingi then apelekwe mirembe.
 
Asaidiwe nini tena huyu mpu..!! Ei...nilitaka tukana.
Huyu ni wakukamata na kuchapa fimbo nyingi then apelekwe mirembe.

Wala hukutaka kutukana mbona hilo neno la kawaida tu hata viongozi wa chama na serikali wanalitumia?puuuumbaaaavuuu!
 
barter trade is dead my friend. refer to double coincidence of want

halafu kumbe ni wewe mzee wa magumashi?

Usikurupuke kama hujui jambo,usichukulie mambo juu juu.Kwa nini unataja barter trade hapa?,ina uhusiano gani na hoja yangu?Najua wewe ni miongoni mwa wale mliomezeshwa kwamba 'money is a medium of exchange'.Nina uhakika kwamba huna uwezo wa kukaa meza moja na mimi kujadialiana suala hili kutokana na uelewa wako ulivyo,unahitaji kujielimisha mambo mengi zaidi ya hili.Hujui kwamba 'money' ni zaidi ya kile unachokijua.

Hebu tafuta maana ya 'money' nje ya 'medium of exchange' ndio unaweza kupata mwanga wa kitu ninahozungumzia.Hujui hata kwa nini pesa ilianzishwa na kina nani walianzisha pesa na kwa sababu zipi.Hakuna somo linaloitwa MONEY mashuleni,dunia nzima hakuna somo hilo,unajua kwa nini?Je,unajua lolote kuhusu 'resource based economy?',unajua madhara ya 'money based economy'.Nenda kwanza shule halafu ndio uje kupambana na mimi,kwa sasa huna kingine zaidi ya kasumba na hisia mbovu tu zisizo na mashiko.
 

Nimekuelewa vizuri sana mkuu.Kuna baadhi ya elimu huwa mtu hawezi kuzipata/kuzielewa kwa muda huohuo mpaka utumie muda mrefu kudadisi.Tatizo kubwa linalotufanya sisi watu wa dunia ya tatu tuwe wagumu kuelimika kwa baadhi ya mambo ni kwamba tunataka kuelewa wakati huohuo.Elimu kama hizi zinahusisha uelewa wa mambo mengi sana,ndio maana huwa nakwenda taratibu.

Nataka kukwambia kwamba kuiondoa pesa katika 'loop' inawezekana 'with time' na kama tuna nia hiyo,na pia inawezekana kabisa kuishi kwenye dunia ambayo pesa haitumiki/hamna.Sasa ili uelewe haya ninayosema na ujue inawezekana vipi,basi fuatilia 'project' moja inaitwa VENUS kwenye youtube ambayo imeanzishwa na Jacque Fresco.Ingia youtube na andika 'The Venus Project',angalia documentaries zote zinahusiana na VENUS na sikiliza kwa makini sana halafu angalia simulation ya dunia itakavyokuwa kama project hiyo ikikamilika,hapo ndipo utakapogundua kwamba sasa hivi bado hatujastaarabika kabisa,yaani 'we are extremely premitive being by now'.Pia utajua kwa nini binadamu ana tabia hizi unazoziona au kuzisikia sasa,utajua kwamba siasa si kitu,democracy si kitu,utajua mengi sana.

Nakushauri ufuatilie hiyo project.
 
Nakuelewa sana DECEPTION Nmetokea kukulike Bure...Najifunza kila nikisomaga comments zako..Hongera kwa ilo...
 
Madawa ni tatizo kubwa inafaa asaidiwe nina Mtoto katumbukia kwenye hiyo kitu, alikua anasoma Mlimani mwaka wa 3 sheria akatumbukia huko dadake ni Hakimu lakini tumeshindwa hili ni Janga tusaidiane

Poleni mlishajaribu kituo kilichopo kigamboni?
 
Mmmmmhh hii kali, asaidiweje huyu mtu? Siku zote kuna msemo usemao bila kuamua huwezi acha mwacheni akiamua ataacha.

Acha kuropoka hayajakupata kwenye familia yk ukaujua uchungu wake nakuombea kwa Mungu yasikupate ingawa ww huna huruma
 
Hii ishu ya madawa ni kubwa sana afu vigogo ndo wanahusika watakufa kama mbwa... Ray c jaman awe makini atatangulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…