Jamani mnakoelekea sio pazuri. Msikashifiane kuhusu imani. Tushindane kwa hoja za msingi 😕
Sasa hawa wenzetu hoja za msingi hawana!
Woote hawa kuanzia wachungaji mpaka wanakondoo!
silaha zao ni matusi tu!
Sisi tunawaonyesha vitu kwa ushahidi!
Wakishaona hawana pa kutokea! Wanaanza matusi na kashfa!
Mfano! Wao wanasema yesu ni mungu!
HEBU TIZAMA BIBLIA INASEMA NINI KUHUSU KAULI HIO!!
JE! YESU ALIKUJA MWENYWEWE? Au ALITUMWA!!
:YOHANA 5:24-----"Kweli nawaambieni, anayesikia neno langu, na kumwamini yule-ALIYENITUMA anao uzima wa milele. Hatahukumiwa kamwe, bali amekwisha pita kutoka kifo na kuingia katika uzima.
YOHANA 5:30- - -"Mimi siwezi kufanya kitu kwa uwezo wangu mwenyewe. Mimi nina hukumu kama-ninavyosikia kutoka kwa Baba, nayo hukumu yangu ni ya haki. Nia yangu si kufanya nipendavyo mwenyewe, bali apendavyo yule-ALIYENTUMA!-
YOHANA 5:36- - -Lakini mimi nina ushahidi juu yangu ambao ni mkuu zaidi kuliko ule wa Yohane. Kwa maana kazi ninazofanya, kazi alizonipa Baba nizifanye, ndizo zinazonishuhudia kwamba Baba ndiye ALIYENITUMA
.--YOHANA 5:37- - -Naye Baba-ALIYENITUMA-hunishuhudia. Ninyi hamjapata kamwe kusikia sauti yake, wala kuuona uso wake.
-------
YOHANA 7:16- - -Hapo Yesu akawajibu, "Mafundisho ninayofundisha si yangu, bali ni yake yeye ALIYENITUMA
YOHANA 7:28- - -Basi, Yesu alipokuwa anafundisha Hekaluni alipaaza sauti na kusema, "Ati mnanijua; hata nilikotoka mnakujua! Hata hivyo, sikuja kwa mamlaka yangu mwenyewe; ila yeye-aliyenituma-mimi ni wa kweli, nanyi hamumjui.
YOHANA 7:29- - -Lakini mimi namjua kwa sababu nimetoka kwake, naye ndiye-ALIYENITUMA
YOHANA 7:33- - -Yesu akasema, "Bado niko nanyi kwa muda mfupi, kisha nitamwendea yule ALIYENITUMA
-------
YOHANA 8:16- - -Hata nikihukumu, hukumu yangu ni ya haki kwa sababu mimi siko peke yangu; Baba-ALIYENITUMA-yuko pamoja nami.
YOHANA 8:18- - -Mimi najishuhudia mwenyewe, naye Baba-ALIYENITUMA ananishuhudia pia."
YOHANA 8:26- - -Ninayo mengi ya kusema na kuhukumu juu yenu. Lakini yule-ALIYENITUMA-ni kweli; nami nauambia ulimwengu mambo yale tu niliyoyasikia kutoka kwake."
YOHANA 8:29- - -Yule ALIYENITUMA -yuko pamoja nami; yeye hakuniacha peke yangu kwani nafanya daima yale yanayompendeza."
-------
YOHANA 6:38- - -kwani nimeshuka kutoka mbinguni si kwa ajili ya kufanya matakwa yangu, ila kutimiza matakwa ya yule-ALIYENITUMA!
YOHANA 6:39- - -Na matakwa ya yule-ALIYENITUMA-ndiyo haya: nisimpoteze hata mmoja kati ya wale alionipa, ila niwafufue wote Siku ya mwisho.
-------
YOHANA 12:44- --Kisha Yesu akasema kwa sauti kubwa, "Mtu aliyeniamini, haniamini mimi tu, ila anamwamini pia yule-ALIYENITUMA
YOHANA 12:49- --Mimi sikunena kwa mamlaka yangu mwenyewe, ila Baba-ALIYENITUMA-ndiye aliyeniamuru niseme nini na niongee nini.
-------
MATAYO 10:40- -"Anayewakaribisha ninyi, ananikaribisha mimi; na anayenikaribisha mimi, anamkaribisha yule-ALIYENITUMA
-------
MARKO 9:37- - - -"Anayempokea mtoto-kama-huyu kwa jina langu, ananipokea mimi; na anayenipokea mimi, hanipokei mimi tu, bali anampokea yule-ALIYENITUMA
-------
LUKA 9:48--akawaambia, "Mtu yeyote anayempokea mtoto huyu mdogo kwa jina langu, ananipokea mimi; na yeyote anayenipokea mimi, anampokea yule ALIYENITUMA Maana yule aliye mdogo kuliko wote kati yenu ndiye aliye mkubwa kuliko wote."
-------
LUKA 10:16- - - --Halafu akasema, "Anayewasikiliza ninyi, ananisikiliza mimi; na anayekataa kuwapokea ninyi, anakataa kunipokea mimi. Yeyote anayekataa kunipokea, anakataa kumpokea yule-ALIYENITUMA!
-------
YOHANA 4:34- - -Yesu akawaambia, "Chakula changu ni kufanya anachotaka yule-ALIYENITUMA-na kuitimiza kazi yake.
-------
YOHANA 9:4- - - -Kukiwa bado mchana yatupasa kuendelea kufanya kazi za yule ALIYENITUMA maana usiku unakuja ambapo mtu hawezi kufanya kazi.
-------
YOHANA 13:20- --Kweli nawaambieni anayempokea yule ninayemtuma anaponipokea mimi; na anayenipokea mimi, anampokea yule ALIYENITUMA.
-------
YOHANA 14:24- --Asiyenipenda hashiki maneno yangu. Na neno mlilosikia si langu, bali ni-lake BABA ALIYENITUMA.
-------
YOHANA 15:21- --Lakini hayo yote watawatendeeni ninyi kwa sababu ya jina langu, kwani hawamjui yeye-ALIYENITUMA
-------
YOHANA 16:5- - -Lakini sasa namwendea yule ALIYENITUMA na hakuna hata mmoja wenu anayeniuliza: `Unakwenda wapi?`
Sasa we angalia hapa! Ndio utaona ni nani kati ya sisi waislamu na hao wanaosema wanamfuata yesu,
Ni NANI ANAJENGA HOJA! na NI NANI ANAETOA KASHFA!?
CC
Izz Nonda Ritz Ally Kombo Kikwajuni one life is Short tansoma Eiyer Aswad Band