Ray C asema hataki tena mapenzi

Ray C asema hataki tena mapenzi

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Nyota wa muziki wa Bongo flava nchini Tanzania, Ray C ameweka wazi kuwa kwa sasa hatamani tena kuingia kwenye suala la mapenzi na mtu yoyote kutokana na kuona anapoteza muda na kutaka kuwekeza nguvu zake kwenye muziki.
Amezungumza hayo kwenye show ya FNL ya EATV wakati anatambulisha video yake mpya.

Bahati mbaya hata hao wanaume wenyewe hakuna maana si kwa usawa huu
 
Hahahahahahaha lol! Mungu anakuona ujue, ila ni vigumu sana kuyaepuka mapenzi si unaona hata humu watu wanavyolalamika kuhusu nguvu ya dushe. Ingekuwa rahisi kuyaepuka mapenzi wangeamua kujikalia kimya tu, lakini bado nao watafuta msaada ili wayafaidi mapenzi.

labda ile midawa ili muathiri hadi sehemu zinazochochea masuala ya mapenzi!!!
 
Ila uyu Dada lazima wamuweke threesome uko Nairobi ......

Mtungo unahusika,,,, ukiwa teja wa unga tena mwanamke papuchi imechezewa sana tena ata mtandao pendwa nawasi wasi...
 
Hahahahahahaha lol! Mungu anakuona ujue, ila ni vigumu sana kuyaepuka mapenzi si unaona hata humu watu wanavyolalamika kuhusu nguvu ya dushe. Ingekuwa rahisi kuyaepuka mapenzi wangeamua kujikalia kimya tu, lakini bado nao watafuta msaada ili wayafaidi mapenzi.
Nilikukosa wewe.
Poleee
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahahahaha lol! Mungu anakuona ujue, ila ni vigumu sana kuyaepuka mapenzi si unaona hata humu watu wanavyolalamika kuhusu nguvu ya dushe. Ingekuwa rahisi kuyaepuka mapenzi wangeamua kujikalia kimya tu, lakini bado nao watafuta msaada ili wayafaidi mapenzi.
Ningekujibu vibaya lakini nimekustahi
 
Back
Top Bottom