real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,299
Nyota wa muziki wa Bongo flava nchini Tanzania, Ray C ameweka wazi kuwa kwa sasa hatamani tena kuingia kwenye suala la mapenzi na mtu yoyote kutokana na kuona anapoteza muda na kutaka kuwekeza nguvu zake kwenye muziki.
Amezungumza hayo kwenye show ya FNL ya EATV wakati anatambulisha video yake mpya.
Amezungumza hayo kwenye show ya FNL ya EATV wakati anatambulisha video yake mpya.