Ray C in Paris

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mmh mbea mimi toka nione ray c kaenda Paris nikajiliwaza huenda itakua vacation tu ya siku mbili then anarudi bongo tuendelee kula msoto wote, jaman nyie Mungu mkali, Mwaka sasa unakatika bibie Naona bado anaendelea tu kula bata kwenye jiji expensive ulimwenguni, kudamshi kama kote, halafu katulia mwenyewe hana mbwe mbwe, Sijui kapata Danga gani shoga kidawa, au usikute anakaa gheto kama mange[emoji16] hana mbele wala nyuma halafu wambea tunapata tabu bila sababu [emoji23].

Kama kapata danga kheri yake, maana shoga kidawa alichunda aiseh , siku hizi Naona kidogo ana hadhi fulani hivi ingawa kimuziki ndo basi tena
 
Whatever...

Ila kwa upande wangu kibongobongo Ray c namchukulia kama G.O.A.T [emoji238] wa wanamuziki wote wa bongo fleva wa kike

Muziki wake ukiangalia video zake za 2003 zilikuwa mbele sana ya wenzake, achana na masuala ya fashion n.k.

Kusimama kwake tena na kuendelea na maisha yake Hata kama sio Muziki tena ni Neema kwa heshima na mwangaza aliojenga kwa wanamuziki wengine wa kike
 
dah sijui amepona...Mungu ampe nguvu arudi kwenye sanaa yake...!
 
Mpaka Leo nimeshindwa kuelewa kilichomchujisha Ray C hadi akapotea kwenye muziki, alaaniwe aliye msababishia Binti kiuno bila mfupa...

Kila kitu na mda wake , wapi celin dion
 

Hilo nalo neno , maana bibie madawa yalimpelekesha
 
Mpaka Leo nimeshindwa kuelewa kilichomchujisha Ray C hadi akapotea kwenye muziki, alaaniwe aliye msababishia Binti kiuno bila mfupa...
Mwisho mwampamba na yule chalii wa chuga
 
Ray C... yupi yupo Paris mwaka mzima...


last 2 weeks mbona alikua pande za Mombasa...



Cc: mahondaw
 
Alikuwa mbele ya muda sana .... angali video ya ukowapi ile video kama imepigwa 2018 kumbe ni kipindi cha mkapa
 
Mpaka Leo nimeshindwa kuelewa kilichomchujisha Ray C hadi akapotea kwenye muziki, alaaniwe aliye msababishia Binti kiuno bila mfupa...
Alikua analeta mapenzi ya kwenye senema kwa kuigiza ana mapenzi ya kweli kwa mvuta bangi teja mmija hivi wa Arusha akapigishwa sembe za maana ndiyo ikawa nitolee.
 
Tokea akopi melody ya wimbo wa kihindi nakuuimba kwa kiswahili niliona hamna mwanamuziki hapo
In fact sijawahi kuona talent ya muziki kwa huyu dada,unajua hata mobeto anaingiaga studio na kupiga kelele kwenye kipaza
 
Tokea akopi melody ya wimbo wa kihindi nakuuimba kwa kiswahili niliona hamna mwanamuziki hapo
In fact sijawahi kuona talent ya muziki kwa huyu dada,unajua hata mobeto anaingiaga studio na kupiga kelele kwenye kipaza
Mkuu hujawahi kuona kipaji cha ray c kwa kweli!?? U must be kidding aseeh..
 

Tangia wale Waarabu wake aliokuwa nao sana Coco Beach Kipindi kile alipokuwa Juu Kimuziki Mmoja wao aliponiambia kuwa walikuwa wakimnanii 0713 ( wakizibua Mtaro wake ) kwa zamu tena mara nyinigine katika Gari lao huku wakimlewesha Mipombe Mikali na kwamba walikuwa wakimuhonga pia Pesa nyingi nilitokea Kumdharau na bado hadi leo hii naendelea Kumdharau japo nikiri wazi kuwa ni Mmoja wa Wanamuziki ambao kama yasingemtokea yale yaliyomtokea Kipindi kile leo hii nina uhakika huyu Dada angekuwa ni Mwanamuziki mkubwa na mwenye Mafanikio sana hapa Tanzania na hata Afrika Mashariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…