Ray C: Nitapambana na Global Publishers Mahakamani

Ray C: Nitapambana na Global Publishers Mahakamani

teh teh..Uncle kumbe unadata na macho mazuri..Jisogeze kwa Nancy Sumari basi
Nancy ana macho ya kichawi yale Kaboom ,Macho yana raha yake si unajua hata Joslin kwenye niite basi alisema unapo blaze macho yako red .......
 
Nancy ana macho ya kichawi yale Kaboom ,Macho yana raha yake si unajua hata Joslin kwenye niite basi alisema unapo blaze macho yako red .......
Basi Uncle mi macho ya Nancy yananikosha sana aisee..
 
Kaboom una Height ya Dwayne Wayde ??? Kama sio usijisumbue bure mwenzio Mb dog aliimba hadi nyimbo hata unyayo hakugusa
Teh teh..Mb Doggy alikula bana..Halafu dogo ndo alishoboka kwa Mb mbwa
 
Teh teh..Mb Doggy alikula bana..Halafu dogo ndo alishoboka kwa Mb mbwa
Teh teh !! Mb dog hakula kitu pale hadi akamshikirikisha Madee ,ile nyimbo yake, ina maana hujui kwamba nakupenda sana maa ,jinsi ulivyo umbika tuu mi nakoma nawe uzuri wa sura yako baby girl umenifanya .........

Mwana wa Sumari enzi hizo matawi ya juu shaa ,Mb alichezea za mbavu teh teh
 
Teh teh..Nakumbuka..Nilikuwa namtetea tu homeboy..
 
Haha wanawake bana ,halafu kampa cha mbavu Mb Dog akaenda kuchezea kitambi cha hasanali
Duuh..Hiyo mpya kwangu..Kumbe alidate na bwanyenye mstaafu?..Sema Mustapha kipindi hicho naye alikuwa juu..Madesigners wenye majina walikuwa wachache..Simshangai sana Nancy teh
 
Duuh..Hiyo mpya kwangu..Kumbe alidate na bwanyenye mstaafu?..Sema Mustapha kipindi hicho naye alikuwa juu..Madesigners wenye majina walikuwa wachache..Simshangai sana Nancy teh
Yeah man alidate nae si ndio jamaa akaenda india sijui kutolewa mafuta ili awe mwembamba yote kisa Nancy kampagawisha ,dah acha tu hawa watoto sisi tusiokua na kitu tunakosa mengi
 
Cio siri hawa gpl wanakera sana na story zao za kisenge ooooh cjui OFM cjui nn na nn wanaingilia maisha binafc ya w2 ili washibishe matumbo yao hyo shigongo hana ulokole wwte mganga njaa tu na hao vibaraka wke ila ipo cku ynu wangese nyie waandish wa gpl!!!!!!manina zenu!!!!!
hawa dawa yao kuwapa kichapo tu , kama alivyokuwa anafanya super rocks (Abdul misambano), ww umeshaona siku hizi wameshamuandika misambano
 
Teh teh..Mb Doggy alikula bana..Halafu dogo ndo alishoboka kwa Mb mbwa
ni kweli for the first time nancy ndo alianza shobo kwa mb dog,tena kipindi iko dogg ndo anasumbua kinoma kweny bongofleva...sasa wakati demu anajibebisha kwa msela,jamaa akawa analeta pozi glani hivi za kisuperstar!demu akamove on,sasa dogg kuona demu hana mpango nae tn ndo yeye dogg sasa akaanza shobo za kumta mtoto mzur nancy,but mwisho wa siku kilichomkuta ni kuchezea vitasa vya uso. Jamaa ktk kubembeleza yake ndo akamtungia na jisongi kbs,alipoona pia haikuzaa matunda akaamua bora aifanyie remix na kufuta mistari hii "uzuri wa sura yako maa umefanya wakupe taji la afrika,nimejikaza nisiseme nancy suma mi nakonda nawe,naposikia jina lako natamani nikufate ulipo maa nimejikaza nisiseme nancy suma mi nashindwa nawe" remix akayaweka hivi "uzuri wa sura yako maa umefanya wakuvike taji la afrika nimejikaza nisiseme my sweetheart,mi nakonda nawe..."
 
Napenda umaarufu ila nachukia mbwembwe zake
 
Huyu dada bora sana afanye hivyo. Haya magazeti yamekua magazeti ya kihuni na uwongo mtupu...na sio baraza la habari wala waziri Nape mwenye kuliona hili.
Haya magazeti yamedhalilisha sana watu wakiwa katika starehe zao na wakiwa watu wazima. Wana mtindo wa kuhonga halafu kutafuta picha kudhalilisha huu si uandishi wa habari ,
Sio utu
Sio ubinadamu
Ni unyama na ushenzi kugitinisha watu waachane
Dada R C nenda tu mahakamani unayo sababu za kushinda na wadai fidia kubwa tu ...
 
Back
Top Bottom