Ray C: Nitapambana na Global Publishers Mahakamani

Ray C: Nitapambana na Global Publishers Mahakamani

Huyu dada bora sana afanye hivyo. Haya magazeti yamekua magazeti ya kihuni na uwongo mtupu...na sio baraza la habari wala waziri Nape mwenye kuliona hili.
Haya magazeti yamedhalilisha sana watu wakiwa katika starehe zao na wakiwa watu wazima. Wana mtindo wa kuhonga halafu kutafuta picha kudhalilisha huu si uandishi wa habari ,
Sio utu
Sio ubinadamu
Ni unyama na ushenzi kugitinisha watu waachane
Dada R C nenda tu mahakamani unayo sababu za kushinda na wadai fidia kubwa tu ...
Kuna kaumri mwanaume. akifika anakuwa handsome Zaid.... Kautu uzima flani hivi...
Alikuaga hendisamu [emoji14]
 
Gpl ni jipu..na shigongo naye...huwa ni mwanaume sutuali
 
pole yake ingawa ukweli anaujua yeye mwenyewe Ray C. kama ni uongo awapeleke tu mahakamani hakuna jinsi
 
Alikuaga hendisamu 😛
ni kweli,na madada na mashangazi yalikuwa yanamshibokea sana misambano,yani huyu jamaa alikuja kuwafunika kina Ally Star,Seif Kisauji,Mustapha Ramadhani nk...kitu cha "Asuu"kiling'arisha sna nyota yake.
 
ni kweli,na madada na mashangazi yalikuwa yanamshibokea sana misambano,yani huyu jamaa alikuja kuwafunika kina Ally Star,Seif Kisauji,Mustapha Ramadhani nk...kitu cha "Asuu"kiling'arisha sna nyota yake.
Macho yake sijui alikua anakula kungu mmh 😛😛
 

Attachments

  • images (24).jpg
    images (24).jpg
    9.7 KB · Views: 33
Umaarufu ni kama harufu, ikinukia utapenda, ikinuka sasa weee!
 
Sorry mkuu niliandika kwa ajili ya candy ....
 
Hao hao Global ndo waliofanya rais JK amwonee huruma na kugharamia matibabu yke
 
ni kweli for the first time nancy ndo alianza shobo kwa mb dog,tena kipindi iko dogg ndo anasumbua kinoma kweny bongofleva...sasa wakati demu anajibebisha kwa msela,jamaa akawa analeta pozi glani hivi za kisuperstar!demu akamove on,sasa dogg kuona demu hana mpango nae tn ndo yeye dogg sasa akaanza shobo za kumta mtoto mzur nancy,but mwisho wa siku kilichomkuta ni kuchezea vitasa vya uso. Jamaa ktk kubembeleza yake ndo akamtungia na jisongi kbs,alipoona pia haikuzaa matunda akaamua bora aifanyie remix na kufuta mistari hii "uzuri wa sura yako maa umefanya wakupe taji la afrika,nimejikaza nisiseme nancy suma mi nakonda nawe,naposikia jina lako natamani nikufate ulipo maa nimejikaza nisiseme nancy suma mi nashindwa nawe" remix akayaweka hivi "uzuri wa sura yako maa umefanya wakuvike taji la afrika nimejikaza nisiseme my sweetheart,mi nakonda nawe..."
mb dog na ule ufupi wake si anamfikia nancy kiunoni?
 
Na wewe Ray C badirika acha tabia zako chafu za kula Unga ona sasa hakuna anayekuthamini tena ushawaumiza mpaka ma best zako,usione kitu mbele yako haki unatisha.
 
Cha maana nilichopata ni msamiati mpya Usengwile
 
Hawa GPL sijawahi kuwaelewa na sitakaa niwaelewe ni waongo waliopitiliza
 
Kuna mtu anafanya kazi kwenye kusaidia watumia unga...alinambia wengi wa watumia dawa za kuacha unga wanaendelea kutumia unga kama dawa ndio maana hawapati mafanikio...
Na akanipa mfano wa mtu aliyekufa kwa sababu ya overdose...kuchanganya cocaine na methadone....na tatizo liko kwa watoto wa kike sababu wao wanaamua kutumia methadone wanaume zao wanagoma....as long as wapo pamoja akirudi home toka hospital jamaa anampa cocaine kama kawaida...
 
shigongo sio mlokole ila anajifanyaga mpigania haki za wanyonge fulani hivi, ila ni mzushi, anapigania masilahi binafsi tu yule
kuhusu kuandika private issue za watu kuliko habari zenye tija kwa jamii, hii hata usimlaum kwa kua ni biashara halali tu ibayokubalika as long as ni kweli kinachoandikwa
Shigongo ni JIPU.
 
Ha
mb dog na ule ufupi wake si anamfikia nancy kiunoni?
Hahahahahaaaaa,mkuu umenifanya nicheke baada ya kujenga picha dogg man akiwa kasimama na mtoto mzuri nancy...ila ufupi sio ishu mradi wangekubaliana tu. Height is nothing but mere foots!
 
Back
Top Bottom