Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
Ndio dawahawa dawa yao kuwapa kichapo tu , kama alivyokuwa anafanya super rocks (Abdul misambano), ww umeshaona siku hizi wameshamuandika misambano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio dawahawa dawa yao kuwapa kichapo tu , kama alivyokuwa anafanya super rocks (Abdul misambano), ww umeshaona siku hizi wameshamuandika misambano
Kuna kaumri mwanaume. akifika anakuwa handsome Zaid.... Kautu uzima flani hivi...Huyu dada bora sana afanye hivyo. Haya magazeti yamekua magazeti ya kihuni na uwongo mtupu...na sio baraza la habari wala waziri Nape mwenye kuliona hili.
Haya magazeti yamedhalilisha sana watu wakiwa katika starehe zao na wakiwa watu wazima. Wana mtindo wa kuhonga halafu kutafuta picha kudhalilisha huu si uandishi wa habari ,
Sio utu
Sio ubinadamu
Ni unyama na ushenzi kugitinisha watu waachane
Dada R C nenda tu mahakamani unayo sababu za kushinda na wadai fidia kubwa tu ...
Alikuaga hendisamu [emoji14]
ni kweli,na madada na mashangazi yalikuwa yanamshibokea sana misambano,yani huyu jamaa alikuja kuwafunika kina Ally Star,Seif Kisauji,Mustapha Ramadhani nk...kitu cha "Asuu"kiling'arisha sna nyota yake.Alikuaga hendisamu 😛
Macho yake sijui alikua anakula kungu mmh 😛😛ni kweli,na madada na mashangazi yalikuwa yanamshibokea sana misambano,yani huyu jamaa alikuja kuwafunika kina Ally Star,Seif Kisauji,Mustapha Ramadhani nk...kitu cha "Asuu"kiling'arisha sna nyota yake.
mkuu hakwenda kuchezea kitambi,alienda kuchezea pesa.Haha wanawake bana ,halafu kampa cha mbavu Mb Dog akaenda kuchezea kitambi cha hasanali
Haha sawa mkuumkuu hakwenda kuchezea kitambi,alienda kuchezea pesa.
mb dog na ule ufupi wake si anamfikia nancy kiunoni?ni kweli for the first time nancy ndo alianza shobo kwa mb dog,tena kipindi iko dogg ndo anasumbua kinoma kweny bongofleva...sasa wakati demu anajibebisha kwa msela,jamaa akawa analeta pozi glani hivi za kisuperstar!demu akamove on,sasa dogg kuona demu hana mpango nae tn ndo yeye dogg sasa akaanza shobo za kumta mtoto mzur nancy,but mwisho wa siku kilichomkuta ni kuchezea vitasa vya uso. Jamaa ktk kubembeleza yake ndo akamtungia na jisongi kbs,alipoona pia haikuzaa matunda akaamua bora aifanyie remix na kufuta mistari hii "uzuri wa sura yako maa umefanya wakupe taji la afrika,nimejikaza nisiseme nancy suma mi nakonda nawe,naposikia jina lako natamani nikufate ulipo maa nimejikaza nisiseme nancy suma mi nashindwa nawe" remix akayaweka hivi "uzuri wa sura yako maa umefanya wakuvike taji la afrika nimejikaza nisiseme my sweetheart,mi nakonda nawe..."
Shigongo ni JIPU.shigongo sio mlokole ila anajifanyaga mpigania haki za wanyonge fulani hivi, ila ni mzushi, anapigania masilahi binafsi tu yule
kuhusu kuandika private issue za watu kuliko habari zenye tija kwa jamii, hii hata usimlaum kwa kua ni biashara halali tu ibayokubalika as long as ni kweli kinachoandikwa
Hahahahahaaaaa,mkuu umenifanya nicheke baada ya kujenga picha dogg man akiwa kasimama na mtoto mzuri nancy...ila ufupi sio ishu mradi wangekubaliana tu. Height is nothing but mere foots!mb dog na ule ufupi wake si anamfikia nancy kiunoni?
Hahahahahaaa laki si pesa. katika ubora wake.mb dog na ule ufupi wake si anamfikia nancy kiunoni?
Bas labda wanadaianaHao hao Global ndo waliofanya rais JK amwonee huruma na kugharamia matibabu yke