Teh teh Kaboom inabidi tu ndugu yangu japo Ray c jicho bado lipo ila mambo mengine ndio yameenda mramaTeh eh..Inabidi uhamishie mapenzi yako kwa Giggy money..Rac C kushnei
teh teh..Uncle kumbe unadata na macho mazuri..Jisogeze kwa Nancy Sumari basiTeh teh Kaboom inabidi tu ndugu yangu japo Ray c jicho bado lipo ila mambo mengine ndio yameenda mrama
Nancy ana macho ya kichawi yale Kaboom ,Macho yana raha yake si unajua hata Joslin kwenye niite basi alisema unapo blaze macho yako red .......teh teh..Uncle kumbe unadata na macho mazuri..Jisogeze kwa Nancy Sumari basi
Basi Uncle mi macho ya Nancy yananikosha sana aisee..Nancy ana macho ya kichawi yale Kaboom ,Macho yana raha yake si unajua hata Joslin kwenye niite basi alisema unapo blaze macho yako red .......
Kaboom una Height ya Dwayne Wayde ??? Kama sio usijisumbue bure mwenzio Mb dog aliimba hadi nyimbo hata unyayo hakugusaBasi Uncle mi macho ya Nancy yananikosha sana aisee..
Teh teh..Mb Doggy alikula bana..Halafu dogo ndo alishoboka kwa Mb mbwaKaboom una Height ya Dwayne Wayde ??? Kama sio usijisumbue bure mwenzio Mb dog aliimba hadi nyimbo hata unyayo hakugusa
Teh teh !! Mb dog hakula kitu pale hadi akamshikirikisha Madee ,ile nyimbo yake, ina maana hujui kwamba nakupenda sana maa ,jinsi ulivyo umbika tuu mi nakoma nawe uzuri wa sura yako baby girl umenifanya .........Teh teh..Mb Doggy alikula bana..Halafu dogo ndo alishoboka kwa Mb mbwa
Teh teh..Nakumbuka..Nilikuwa namtetea tu homeboy..Teh teh !! Mb dog hakula kitu pale hadi akamshikirikisha Madee ,ile nyimbo yake, ina maana hujui kwamba nakupenda sana maa ,jinsi ulivyo umbika tuu mi nakoma nawe uzuri wa sura yako baby girl umenifanya .........
Mwana wa Sumari enzi hizo matawi ya juu shaa ,Mb alichezea za mbavu teh teh
Haha wanawake bana ,halafu kampa cha mbavu Mb Dog akaenda kuchezea kitambi cha hasanaliTeh teh..Nakumbuka..Nilikuwa namtetea tu homeboy..
Duuh..Hiyo mpya kwangu..Kumbe alidate na bwanyenye mstaafu?..Sema Mustapha kipindi hicho naye alikuwa juu..Madesigners wenye majina walikuwa wachache..Simshangai sana Nancy tehHaha wanawake bana ,halafu kampa cha mbavu Mb Dog akaenda kuchezea kitambi cha hasanali
Yeah man alidate nae si ndio jamaa akaenda india sijui kutolewa mafuta ili awe mwembamba yote kisa Nancy kampagawisha ,dah acha tu hawa watoto sisi tusiokua na kitu tunakosa mengiDuuh..Hiyo mpya kwangu..Kumbe alidate na bwanyenye mstaafu?..Sema Mustapha kipindi hicho naye alikuwa juu..Madesigners wenye majina walikuwa wachache..Simshangai sana Nancy teh
hawa dawa yao kuwapa kichapo tu , kama alivyokuwa anafanya super rocks (Abdul misambano), ww umeshaona siku hizi wameshamuandika misambanoCio siri hawa gpl wanakera sana na story zao za kisenge ooooh cjui OFM cjui nn na nn wanaingilia maisha binafc ya w2 ili washibishe matumbo yao hyo shigongo hana ulokole wwte mganga njaa tu na hao vibaraka wke ila ipo cku ynu wangese nyie waandish wa gpl!!!!!!manina zenu!!!!!
Hivi misambano yupi bongo hii? Long timehawa dawa yao kuwapa kichapo tu , kama alivyokuwa anafanya super rocks (Abdul misambano), ww umeshaona siku hizi wameshamuandika misambano
yupo kama kawaHivi misambano yupi bongo hii? Long time
keshakuwa babu sasa hivi!Hivi misambano yupi bongo hii? Long time
ni kweli for the first time nancy ndo alianza shobo kwa mb dog,tena kipindi iko dogg ndo anasumbua kinoma kweny bongofleva...sasa wakati demu anajibebisha kwa msela,jamaa akawa analeta pozi glani hivi za kisuperstar!demu akamove on,sasa dogg kuona demu hana mpango nae tn ndo yeye dogg sasa akaanza shobo za kumta mtoto mzur nancy,but mwisho wa siku kilichomkuta ni kuchezea vitasa vya uso. Jamaa ktk kubembeleza yake ndo akamtungia na jisongi kbs,alipoona pia haikuzaa matunda akaamua bora aifanyie remix na kufuta mistari hii "uzuri wa sura yako maa umefanya wakupe taji la afrika,nimejikaza nisiseme nancy suma mi nakonda nawe,naposikia jina lako natamani nikufate ulipo maa nimejikaza nisiseme nancy suma mi nashindwa nawe" remix akayaweka hivi "uzuri wa sura yako maa umefanya wakuvike taji la afrika nimejikaza nisiseme my sweetheart,mi nakonda nawe..."Teh teh..Mb Doggy alikula bana..Halafu dogo ndo alishoboka kwa Mb mbwa
Alikuaga hendisamu 😛keshakuwa babu sasa hivi!