Hiyo njia unapita hiyo mida kwa ajili ya kumuangalia ray c au inatokea tu maana mpaka maswala ya hospital unayafahamu. Wanaume wa dar kwenye ishu za umbea mpewe tuzo kwakweli.
Ibilisi ame mpenda zaidi.Karudia tena?
Akifanya hivyo naamin Mungu ni Mwaminifu atamsaidia.RAYC MWOMBE ROHO MTAKATIFU. AKUSAIDIE KUACHA HAYO MAMBO KWA AKILI ZAKO HUTAWEZA MAANA NI ROHO YA UARIBIFU IMEKUVAA,CHUKUA MISTARI (WARUMI 8:1-14) (YOHANA 14:26) (YOHANA 16:13) MAOMBI YAKO YALENGE KUOMBA UONGOZWE NA ROHO MTAKATIFU, NJE YA HAPO HUWEZI KUACHA JAMBO HILI.
Anasikitisha, na mkorogo umemshinda, Maana alijibabua, kati ya watu waliosaidiwa Huyu nae alisaidiwa mno,pole yake mama yake.mbona alikuwa vizuri,kipi kilichomsibu
Na ndo mambe alivomwambia tu akatengezewe jeneza lake likae kwao
Ni kweli anaonekana mtaa wa ufipa kino everyday kawa mchafu mchafu hlf kashatolewa kwny list ya kunywa methodon m/nyamala
Mziki gani wa Lord eyes unaongelea hapa?Tetesi za lord eyes kumpoteza ray c nashindwa kuzikubali maana lord eyes yuko fresh daily na mziki kama kawaida .....
We ni mwanaume wa dar au mikoani?Wanaboa kishenzi..
Kwa sakata la muitaliano liliishaje?Mm huwa namkubali sana mange kimambi huwa hakurupuki katika kutoa taarifa au ushauri