-live Wire
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 375
- 192
Lord eyes ft Damian "Mapito"........lord eyez ft mwasiti ...."kwanin mnanichukia".....habari ndo hyo kama Humjui lord eyez bora ukae kimya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe na huyo ''mambe'' ndio hamtakufa mtaishi milele?Na ndo mambe alivomwambia tu akatengezewe jeneza lake likae kwao
Uyu ni teja kabsa.. Wala akuna ubishi...
Ndio alivyo hivyo sasa.... mateja wenzake wabampiga wanaenda kumuuzia shigongo.....picha za mwaka 2010 hizi
Kwa hiyo erick shigongo anatembea na mke wa mtu?Ray C akinywa Methadone kwa ukamilifu ni lazima anenepe kama alivyokuwa akionekana baada ya kuanza kunywa dawa.
Alipokunywa dawa kwa mwaka wa kwanza alionekana anaendelea vizuri kiasi cha kuonekana anaweza kumaliza tiba kwa miaka miwili.
Sasa alipokuwa kwenye mwaka wa pili ndio alipoanza kujichanganya na mateja, hasa alipofungua mgahawa wake Mwananyamala.
Yanayomtokea Ray C ni mambo ya kuumiza sana, na hataki kuwa mkweli kama alianza uteja alipoanza kuwa punda na TID, hata Lord Eyes alimkuta akiwa teja.
Na kwa bahati mbaya mara zote akianza tiba hulazimishwa, haamui mwenyewe kwa hiari yake.
Hakuna siri tena yeye teja kwa mara nyingine tangu alipoacha mazoezi na alipoanza kupungua unene wake, kwani unene ule ulikuwa wa side effects za Methadone.
Kwa hivi alivyopungua ilitokana na kurudia matumizi ya dawa za kulevya kwa mara nyingine.
Kwa msioijua hii ni mara yake ya tatu kurudia uteja na kukatiza dozi ya tiba, alishatibiwa Arusha na Nairobi.
Na mbaya zaidi mateja wenzake ndio waliompiga hizi Picha na kuziuza kwa Shigongo.
Katika hili Shigongo kaandika ukweli mtupu, coz kuna mtu wa familia ya Ray C anampa hizi habari.
Kuna mtu anaitwa Mama Derick ambaye ni mke wa kaka yake Ray C anayeishi China ndiye anayempa habari zote za Ray C.
Mama Derick anaishi hapa huku mumewe akiwa China, na uhusiano wa kimapenzi na Erick.
Kwa bahati mbaya Ray C hawaivi na huyu wifi yake, tangu walipogombana na Ray C kumtupa ndani wifi yake kwa siku mbili.
Mimi simuonei huruma tena.
Ova
Pole sana. Mzazi wako anajua ana mtoto wa kiume. BTW huku Dsm wafanyakazi wa wizara ya elimu kila siku wanajionea rais anavoingia na kutoka pale Magogoni. Wee msubiri akija ziara shamba au mbugani kutalii!
Huelewi tu .. Hayo madawa ukimuachisha mtu ghafla lazima afe.Hiyo methodone haiwezi kumtibu mtu akaacha, maana ni kama mbadala wa huo unga, akipata hiyo dawa mwili unapoa kama kala unga, dawa ikiisha inataka tena dawa so inakuwa dawa baada ya dawa akikosa anakuwa na arosto mbaya sana, tiba sahihi kwa Ray c ni kumpeleka rehab akakae huko bila dawa bila unga arost zote ziishe mwilini, apatiwe elimu ya kuacha kabisa hayo madawa dnio itakuwa pona yake.
Ndio maana kuna wataalam wa kuwasaidia hawa watu, apelekwe akafungiwe huko mbona wengine wamepona huku kitaa?Huelewi tu .. Hayo madawa ukimuachisha mtu ghafla lazima afe.
Sio kweli, rehab ya Pilimasana kigamboni mtu anapewa methadone siku tatu, baada ya hapo hakuna cha methadone tena. Methadone ni aina nyingine ya kuhalalisha madawa ya kulevya.Huelewi tu .. Hayo madawa ukimuachisha mtu ghafla lazima afe.
Kuna jamaa alikuwa anatumia nilikuwa namfahamu.. Bahati mbaya alikamatwa na polisi sikumbuki kosa lake alikaa mahabusu siku ya kwanza ya pili akafaNdio maana kuna wataalam wa kuwasaidia hawa watu, apelekwe akafungiwe huko mbona wengine wamepona huku kitaa?
hivi mnajuaje juaje haya mamboNi kweli anaonekana mtaa wa ufipa kino everyday kawa mchafu mchafu hlf kashatolewa kwny list ya kunywa methodon m/nyamala
Kuna tofauti ya kukaa mahabusu na kwenye rehab, hata chakula lazima wapewe kwa mpangilio, sasa utakuta hukoo mahabusu jamaa kafakamia dona wakati utumbo ulizoea biskuti si lazima apate complication afe!Kuna jamaa alikuwa anatumia nilikuwa namfahamu.. Bahati mbaya alikamatwa na polisi sikumbuki kosa lake alikaa mahabusu siku ya kwanza ya pili akafa
kivip una ji quote mwenyewe mkuu?HIZO PICHA ISIJE KUWA ZA ZAMANI
ANYWAY JUMANNE NILIMWONA RAY C PALE MAKUMB7SHO INAVOONESHA BADO ANA HITAJI MUDA ZAIDI KUACHA KABISA MIENENDO YAKE MIBAYA
Mkuu kuna vifo vya kujitakiaWewe na huyo ''mambe'' ndio hamtakufa mtaishi milele?