Ray C wa sasa hadi huruma

Lord eyes ft Damian "Mapito"........lord eyez ft mwasiti ...."kwanin mnanichukia".....habari ndo hyo kama Humjui lord eyez bora ukae kimya.
 
Acheni kumchafua Ray C,ameacha madawa ya kulevya zamani sana.Nyie ni wauza unga nini inawauma alivyoacha na alikuwa anawaingizia hela nyingi kila siku kumkatisha tamaa ili arudie?
 
Kwa hiyo erick shigongo anatembea na mke wa mtu?
 
Pole sana. Mzazi wako anajua ana mtoto wa kiume. BTW huku Dsm wafanyakazi wa wizara ya elimu kila siku wanajionea rais anavoingia na kutoka pale Magogoni. Wee msubiri akija ziara shamba au mbugani kutalii!


hahahaha!
 
Huelewi tu .. Hayo madawa ukimuachisha mtu ghafla lazima afe.
 
maisha haya jamani.huyu dada alivyokuaga mrembo na leo hii yuko hivi
 
Huelewi tu .. Hayo madawa ukimuachisha mtu ghafla lazima afe.
Sio kweli, rehab ya Pilimasana kigamboni mtu anapewa methadone siku tatu, baada ya hapo hakuna cha methadone tena. Methadone ni aina nyingine ya kuhalalisha madawa ya kulevya.
 
Ndio maana kuna wataalam wa kuwasaidia hawa watu, apelekwe akafungiwe huko mbona wengine wamepona huku kitaa?
Kuna jamaa alikuwa anatumia nilikuwa namfahamu.. Bahati mbaya alikamatwa na polisi sikumbuki kosa lake alikaa mahabusu siku ya kwanza ya pili akafa
 
Kuna jamaa alikuwa anatumia nilikuwa namfahamu.. Bahati mbaya alikamatwa na polisi sikumbuki kosa lake alikaa mahabusu siku ya kwanza ya pili akafa
Kuna tofauti ya kukaa mahabusu na kwenye rehab, hata chakula lazima wapewe kwa mpangilio, sasa utakuta hukoo mahabusu jamaa kafakamia dona wakati utumbo ulizoea biskuti si lazima apate complication afe!
 
HIZO PICHA ISIJE KUWA ZA ZAMANI
ANYWAY JUMANNE NILIMWONA RAY C PALE MAKUMB7SHO INAVOONESHA BADO ANA HITAJI MUDA ZAIDI KUACHA KABISA MIENENDO YAKE MIBAYA
kivip una ji quote mwenyewe mkuu?
 
Watu wanashangaaa. like they didnt know.

Unafiki mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…